Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Yaani moshi hamna kitu zaidi ya jengo moja tu hilo la blue, alafu kusema vijijini moshi pako vizuri mbona bk safi tu. Anyway wachagga acheni sifa za kijinga mdogo wangu yuko moshi analia na joto kali huko
we uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana wenzio wanajadili maendeleo ya miji na miundombinu wewe unatuletea hali ya joto,kwani joto ndo linazuia vipi kujengeka kwa mji?? chukulia mfano hali ya joto ya pwani n.k
 
Hiyo ni moshi mkuu, inaonekana huijui vizuri moshi.
huyo hapajui moshi akili yake inamtuma ni iringa kwakuwa alisoma pale chuo cha kata ila hapafahamu moshi.ila mimi nawashangaa sana watu wanafananisha miji hii miwili ni aibu na fedheha kuifabanisha moshi na bukoba wanaojenga nyumba zinazobomoka kwa mvua tuu ya upepo au katetemeko kale ka juzi hoi hawajiwezi aibu sana,hivi matetemeko yanayotokeaga moshi yangetokea bukoba si kilio miaka yote??miundo mbinu wanayijisifu nayo siyo ya kiwango na ndiyo maana wako ivo kujisifia tuu kila kona aibu sana.Moshi kama moshi itabaki kuwa mishi ukubali au ukatae wewe wa bukoba jipe moyo au jifariji kwa kujidanganya kuwa bukoba mpo juu ya moshi aibu sana,pigeni kazi acheni sifa za kipuuzi.
 
Kibosho Moshi vijijini
8714251.jpg
GRM_c.jpg
images
image_enviro2.jpg
E86A9437-800x533.jpg

8690755_1476712748.3416_updates.jpg
Hapo ni Kibosho kijijini lakini maji ni ya bomba safi na salama huku wanawake wanaobeba mitungi ya maji vichwani wamewaonea kwenye TV na visima huko ni msamiati.
Cheki bukoba vijijini
349b47c694ad1ec976695b3c098ec9eb.jpg
e2945801c9026e7eef14b045cff4e577.jpg
f90f5c55934b6a64fabc123c314fd379.jpg
46766362d50268312264f5bcfd1c36b4.jpg
9deaf3628c409ca65b896ccd2be3da00.jpg
da57033ca2bd72f37ab1780f87f6040e.jpg
0751fe9c42bec0305168655963a49fb9.jpg
ce7a7d2be0c5ee52688fde8ed7f6b8dd.jpg
abd7f0f4ded0ee096abb5b1759c12876.jpg
7a9ab90cf50a03c364e65f34c17556a5.jpg
e1f5b7bcc5629706ff10754b4b0a8e54.jpg
3732468aa51e20a082e2f978265cada9.jpg
0d131a3fea3327659fce380eacc41769.jpg
aa9a343246ee8b7b95fe928d4a28232e.jpg
 
huyo hapajui moshi akili yake inamtuma ni iringa kwakuwa alisoma pale chuo cha kata ila hapafahamu moshi.ila mimi nawashangaa sana watu wanafananisha miji hii miwili ni aibu na fedheha kuifabanisha moshi na bukoba wanaojenga nyumba zinazobomoka kwa mvua tuu ya upepo au katetemeko kale ka juzi hoi hawajiwezi aibu sana,hivi matetemeko yanayotokeaga moshi yangetokea bukoba si kilio miaka yote??miundo mbinu wanayijisifu nayo siyo ya kiwango na ndiyo maana wako ivo kujisifia tuu kila kona aibu sana.Moshi kama moshi itabaki kuwa mishi ukubali au ukatae wewe wa bukoba jipe moyo au jifariji kwa kujidanganya kuwa bukoba mpo juu ya moshi aibu sana,pigeni kazi acheni sifa za kipuuzi.
Unacheza na tetemeko et ehhh halijakupata ndo maana ushamba tetemeko unalisikia kwenye TV tu waulize mwenye experience like si kitu cha mchezo
 
Yaani nimekuchapa bakora za vijijini mpaka umepabadili bukoba mjini saivi unapaita vijijini.???

Moshi ni jiji la kitalii unalinganisha na mji Wa kilimo na ufugaji Kwanza bukoba inachangia kipi kikuu katika pato la taifa? Bukoba ni ya ngapi kwa ukusanyaji wa mapato? Development index ya bukoba ipo vipi ukilinganisha na Moshi? Sababu sio tunabishana tu kizumbukuku wakati ukweli wote upo plain na nikikuletea hapa utaaibika na ngoja nzileta statistics zote
Cheki bukoba vijijini
349b47c694ad1ec976695b3c098ec9eb.jpg
e2945801c9026e7eef14b045cff4e577.jpg
f90f5c55934b6a64fabc123c314fd379.jpg
46766362d50268312264f5bcfd1c36b4.jpg
9deaf3628c409ca65b896ccd2be3da00.jpg
da57033ca2bd72f37ab1780f87f6040e.jpg
0751fe9c42bec0305168655963a49fb9.jpg
ce7a7d2be0c5ee52688fde8ed7f6b8dd.jpg
abd7f0f4ded0ee096abb5b1759c12876.jpg
7a9ab90cf50a03c364e65f34c17556a5.jpg
e1f5b7bcc5629706ff10754b4b0a8e54.jpg
3732468aa51e20a082e2f978265cada9.jpg
0d131a3fea3327659fce380eacc41769.jpg
aa9a343246ee8b7b95fe928d4a28232e.jpg
 
Asante sana nazipokea pongezi hizi nakukaribisha sana Moshi uje uburudike zaidi huku ulaya ndogo
Tafuta hata miwani ya mbao basi ili uone. Kiukweli nimeipitisha rasmi Moshi ni balaa aisee wachaga hongereni sana nimependa bure.
Bukoba utadhani Burundi bana teh teh teh wahaya msinipige mawe.
 
basi umenifunza leo ...ila kitabu nilichosoma kilisema hotel ya kwanza ya lift afrika mashariki na mfumo wa maji moto ni Coffee Tree hotel ,iliyojengwa na Native Gorvernment ya Kilimanjaro ....ila kwa hili la zanzibar nakubaliana nawewe kwakuwa najua sio Tanzania tu bali Afrika ,Zanzibar inazo record nyingi ie street lights ziliwekwa zanzibar hata kabla ya London , TRENI YA KWENDA BUBUBU,televisheni ya rangi ya kwanza afrika , etc etc
Vitu vingi ni vya uongo picha za kilimanjaro ni za uongo. Anachanganya na picha arusha na Nairobi. Moshi pa kawaida sana tofauti na wanavyojisifia
 
Cheki bukoba vijijini
349b47c694ad1ec976695b3c098ec9eb.jpg
e2945801c9026e7eef14b045cff4e577.jpg
f90f5c55934b6a64fabc123c314fd379.jpg
46766362d50268312264f5bcfd1c36b4.jpg
9deaf3628c409ca65b896ccd2be3da00.jpg
da57033ca2bd72f37ab1780f87f6040e.jpg
0751fe9c42bec0305168655963a49fb9.jpg
ce7a7d2be0c5ee52688fde8ed7f6b8dd.jpg
abd7f0f4ded0ee096abb5b1759c12876.jpg
7a9ab90cf50a03c364e65f34c17556a5.jpg
e1f5b7bcc5629706ff10754b4b0a8e54.jpg
3732468aa51e20a082e2f978265cada9.jpg
0d131a3fea3327659fce380eacc41769.jpg
aa9a343246ee8b7b95fe928d4a28232e.jpg
Bukoba vijijini kwa Moshi itasubiri sana mdau amini hivyo jamaa wapo mbali na ukifika huko kuna.mitaa ipo kijiji lakini hizo nyumba na migarden zake hata pale masaki peshakuwa uswazi wanasubiri unapata chakula ya akili
 
Mkuu huyo jamaa nna wasiwasi ametoroka mirembe....!maana ni mbishi sijapata kuona..!anafikiri hiyo bukoba anaifahamu mwenyewe tu kumbe watu wanaifahamu vizuri tu ni choka mbaya.
Aisee Mchome Junior huyu jamaa anazani bukoba ni bab kubwa sababu ya lack of exposure hajawahi kwenda popote nje ya kagera uzuri amekiri mwenyewe Moshi ameijulia star TV ndio maana naenda nae taratibu ni ushamba tu unamsumbua.
 
Panavutia kwa kweli hospital kama hiyo mikoa mingine ni hospital ya wilaya au ya mkoa au ya kanda au ya rufaa lakini Kilimanjaro ni hospital ya kawaida tu inayohudumia watu wachache sababu ya wingi wa huduma bora za Afya kila kona Kilimanjaro
Machame hospital
 
Ni kweli lazima zikuchanganye kama hukutarajia moshi ingekuwa hivyo ila ukweli ndio huo na hizo pictures ni chache sana kama unavyojua majumba huku yamejificha migombani ni vigumu kupata pictures nyingi sababu nyumba zimeachana sana na moshi vijijini ni kubwa mno.

Na hapo sijaigusa kabisa Rombo, Mwanga, Same, Usangi ni balaa
Vitu vingi ni vya uongo picha za kilimanjaro ni za uongo. Anachanganya na picha arusha na Nairobi. Moshi pa kawaida sana tofauti na wanavyojisifia
 
Yeah hapo ni hot spring chemka maji moto hahaha natural jacuzzi watalii wanapakubali sana hapo ni mara 100000 ya Lake Victoria kabisa
Asanta sana, huyu jamaa anayefananisha Moshi na Bukoba ni kichaa...
Ni sawa na New York (moshi) na Dar (bukoba)
 
Wewe instanbul na wenzio mliotaka pictures za Moshi zimetosha mniambie sababu mlitaka wenyewe
images
images
images
images
images
images

Machame Route to the Mountain Kilimanjaro Huku ukifika ukiwa umefungwa macho badly enough uwe unatokea huko kanda ya ziwa utakana kabisa kama upo Tanzania

Tunapokea maelfu ya watalii daily wanaacha dollars paun euro na cash za kutosha wengine wamezamia huku tunaishi nao sasa huko bukoba hivi hata mnajua dollars nini au mnajua dollars ni vyombo vya usalama????
Sasa unatuletea picha za misitu na vichaka tuoneshe moshi halisi tutaaminije ni moshi
 
Kibosho kijijini hapo ni Kibosho Primary School with some students having fun on the foot of the Kilimanjaro Mountain.
school-children-in-kibosho-primary-school-kilimanjaro-region-tanzania-cbcypg.jpg
 
Kama Moshi ni dormant basi hata sector ya utalii nchini ni dormant sababu Kilimanjaro inachangia zaidi ya 87% in tourism cash na sector ya utalii ndio ya pili kwenye kuchangia pato la taifa ikitoka kilimo
Dormant kweli ndo maana mlima umeibwa siku hizi ni wa Kenya.moshi mnatuaibisha mno hamuutangazi vizr mlima huo.mnazidiwa na wanabukoba wanausifia mji wao na kuutangaza vyema mji hata kama wanapenda sifa mno.
 
Tafuta hata miwani ya mbao basi ili uone. Kiukweli nimeipitisha rasmi Moshi ni balaa aisee wachaga hongereni sana nimependa bure.
Bukoba utadhani Burundi bana teh teh teh wahaya msinipige mawe.
Unaota wewe acha chuki kwa wahaya acha uchabiki
 
Yaani nimekuchapa bakora za vijijini mpaka umepabadili bukoba mjini saivi unapaita vijijini.???

Moshi ni jiji la kitalii unalinganisha na mji Wa kilimo na ufugaji Kwanza bukoba inachangia kipi kikuu katika pato la taifa? Bukoba ni ya ngapi kwa ukusanyaji wa mapato? Development index ya bukoba ipo vipi ukilinganisha na Moshi? Sababu sio tunabishana tu kizumbukuku wakati ukweli wote upo plain na nikikuletea hapa utaaibika na ngoja nzileta statistics zote
Unaota bado
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom