Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
Kah! mji wa Bukoba umekaa kama mahema ya wakimbizi......Una sura ya miji ya Afrika ya kati.
Bukoba itasubiri sana kuifikia Moshi.
Kabla ya Uhuru miji iliyokuwa mikubwa na ya mwanzo kujengwa ni Moshi na Tanga .....hii ni miji ambayo baada ya uhuru ilikuwa dormant sana .......hasa baada ya utaifishaji wa mashamba ikawa kama imekufa kwakuwa wakulima wakubwa wa Kahawa na Katani walioifanya miji hii kuwa maarufu waliondoka
Bandari ya Tanga miaka hiyo ilikuwa ina handle exports nyingi kuliko Dar es salaam .....,
Mji wa Moshi ndipo kulijengwa jengo la kwanza lenye lift afrika mashariki na watu walitoka hadi Nairobi kuja kula maisha Coffee Tree Hotel [KNCU].....
Miji ya ARUSHA ,DAR,MWANZA ilianza kuipiku miji ya Tanga na Moshi baada ya uhuru .


