Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Protel_hotel_aishi_machameview.jpg
remote.jpg.ashx
search
marangu-hotel.jpg

Mambo yote haya yapo VIJIJINI sio mjini hivi ndio vijiji vya Moshi
Mnachekesha hivi moshi mjini pamewashinda kulinganisha mpaka mnaleta vijiji poor moshi mji Wa bukoba inawagalagaza sana baati mbaya sana vijiji vingi vipo wilaya ya muleba na misenyi ambazo sio bukobw .ila nikizileta hapa mtashangaa tukileta kagera nzima mtalia sana hasa miji kama mutukula,kyaka,bunazi,kayanga,karagwe,kamachumu ndo basi,nshamba na muleba mjini mtalia sana weka picha za moshi mjini kwanza tunaionaga star tv .
 
We ni ta,ahira bukoba ipi unailinganisha na Moshi wewe?
 
Ukiongelea stendi bukoba ni kweli haipo kwenye hadhi ya kuitwa stendi kuu ya mji soko pia haliko kwenye ubora hii pia hata kwa moshi stendi na soko ni yale yale ila moshi itapata sifa ya usafi
Stand ya Moshi unaifananisha na ya Bukoba? Hivi huko shule mnaendaga kusomea ujinga?
 
We ni ta,ahira bukoba ipi unailinganisha na Moshi wewe?
Vyote shida wilaya ya bukoba karibia wilaya nzima ni mji ukisema vijiji ndo wilaya za muleba,misenyi na karagwe inaingia na hapo ni kagera inaingia
 
Wewe! Bukoba unapafahamu? Na Moshi unapafahamu?
Hakika kama utaiweka hiyo Bukoba juu ya Moshi akili zako zitakuwa hazikutoshi!! au labda unaandika tu kuufuraisha umma
 
Hapa wachagga wanachonganishwa na makabila ya kanda ya ziwa kwa faida ya siasa za chama husika. Watu wa kaskazini puuzeni hizi thread za kila uchao ili mwenyewe kuwachukia aje kiuwazi. Hizi ni thread za watu wanaotumwa na wanalipwa. Wachagga mnaingizwa mtegoni
 
Tatizo la watu wa Moshi matusi na vijembe sana, ndiyo maana Bukoba imewazalaza bakola za kutosha, kama ni picha leteni acheni maneno mengi, alfu kutukana kunaonesha ni watu wa aina gani, matusi ya hivyo ni watu ya washamba sasa kama nyinyi mna sifa ya usomi alfu ustaarabu sifuri hapana kabisa.

Watu wa Moshi msifanye hivyo shindaneni na watazeni wa kimaendeleo, kwangu naona Bukoba ina inyanyasa vibaya Moshi pamoja na tofauti kubwa zilipo katika miji yote miwili, Moshi wanaweka zile picha za Hotel zilizoko pembezoni mwa mji wa Moshi alfu wanasema ni vijijini!!!

Sikatai Moshi ina miundo mbinu imara ya maji, umeme na barabara, lakini Bukoba pia kwenye suala la umeme, Afya kwa sasa ina fanya vizuri, Bukoba haina shida sana na maji ila Maji ya bomba ndiyo tatizo kwa Bukoba ukilinganisha na Moshi.

Naombeni watu wa Bukoba pia njooni na picha za vijijini hasa kule Muleba (Kamachumu) Misenyi, Kyaka na Kyerwa,

Nawatakieni league njema Bukoba vs Moshi.
 
Mnachekesha hivi moshi mjini pamewashinda kulinganisha mpaka mnaleta vijiji poor moshi mji Wa bukoba inawagalagaza sana baati mbaya sana vijiji vingi vipo wilaya ya muleba na misenyi ambazo sio bukobw .ila nikizileta hapa mtashangaa tukileta kagera nzima mtalia sana hasa miji kama mutukula,kyaka,bunazi,kayanga,karagwe,kamachumu ndo basi,nshamba na muleba mjini mtalia sana weka picha za moshi mjini kwanza tunaionaga star tv .

Wewe kijana mpumbavu sana unaongelea bukoba ipi???? Kama moshi umeijulia star TV unafikiri na wengine bukoba tumeijulia kwenye Kasibante FM???

hivi hapo muleba unapotambia ipo nyumba ipi ya maana zaidi ya hiyo ya Anna Tibaijuka aliyoijenga juzi juzi kwenye hiyo road ya kuelekea bomani????

Me nikushauri tu punguza kujiaibisha wa haya wenzio waliokwisha fika Moshi wanakuambia Moshi ni habari nyingine unajifanya kichwa ngumu huna adabu kabisa Kwanza biharamulo inaipita bukoba.

Moshi inaichalenge Mwanza alafu unakuja kuilinganisha na Bukoba????
 
Anzia page ya 48 ukitaka nyingine sema tu zipo za kutosha

Hahaa tafadhali mod kama inawezekana tafuta huyu chalii instanbul funga kamba tupeleke mirembe hosp haiko sawa kumkichwa duuu unachekesha umetoaka kali ya kufungulia mwaka hii
 
Wiki tatu zilizopita nilikuwa moshi ni mji wenye usafi wa hali ya juu kwa mtazamo wangu Bukoba IPO juu
 
Wewe kijana mpumbavu sana unaongelea bukoba ipi???? Kama moshi umeijulia star TV unafikiri na wengine bukoba tumeijulia kwenye Kasibante FM???

hivi hapo muleba unapotambia ipo nyumba ipi ya maana zaidi ya hiyo ya Anna Tibaijuka aliyoijenga juzi juzi kwenye hiyo road ya kuelekea bomani????

Me nikushauri tu punguza kujiaibisha wa haya wenzio waliokwisha fika Moshi wanakuambia Moshi ni habari nyingine unajifanya kichwa ngumu huna adabu kabisa Kwanza biharamulo inaipita bukoba.

Moshi inaichalenge Mwanza alafu unakuja kuilinganisha na Bukoba????
Mkuu huyo jamaa nna wasiwasi ametoroka mirembe....!maana ni mbishi sijapata kuona..!anafikiri hiyo bukoba anaifahamu mwenyewe tu kumbe watu wanaifahamu vizuri tu ni choka mbaya.
 
sasaivi moshi wako mwendo wa kutembeza lami tuu mpaka vijini milangoni ingia moshi anza kula misere uone mji hata izo picha za moshi wanaosema ni iringa watakuwa wako wrong moshi iko juu na itabaki kuwa juu mji wa kisafi kwa watanashati
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom