Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Em muulizeni kwa bahati mbaya tu vyuma kama hivi vilishawahi kupita bukoba japo tu kama it 😀😀😀
DAVIS+7.JPG
Asanta sana, huyu jamaa anayefananisha Moshi na Bukoba ni kichaa...
Ni sawa na New York (moshi) na Dar (bukoba)
IMG_3469.JPG
images
239739_orig.jpg

Kama hivi Christmas hizi gari zinafurika unafikiri kuna viwanda vya hivi vyuma bukoba saivi ni senene ndio wametamalaki😛
 
Sisi tumetulia tunasubiria hizo Dreamliner zije sababu hizo ndege ni kama tumenunuliwa Kilimanjaro na Arusha watalii wote watakaokuja na hizo ndege wewe pigia hesabu kichwani kwako hizo cash zote walizoambatana nazo wametubebea sisi huku migombani
Dormant kweli ndo maana mlima umeibwa siku hizi ni wa Kenya.moshi mnatuaibisha mno hamuutangazi vizr mlima huo.mnazidiwa na wanabukoba wanausifia mji wao na kuutangaza vyema mji hata kama wanapenda sifa mno.
 
Mpambano bado unaendelea. Labda tu mi niwaambie kitu binafsi Bukoba nimeishi tena kashai kwa hiyo maeneo Mengi nayafahamu kama hamgembe,Nyakanyasi,lwamishenye,kahololo, lugambwa ,ihungo,ibwela.mitaa ya Ghana kule lakini kwa Moshi Bukoba bado sana tuwe tu wakweli kwa hilo tena moshi nimefika na nimeenda mpaka uru kishumundu bush huko.kwa hiyo ukweli ubaki kuwa ukweli tu
 
Vitu vingi ni vya uongo picha za kilimanjaro ni za uongo. Anachanganya na picha arusha na Nairobi. Moshi pa kawaida sana tofauti na wanavyojisifia
Mkuu tusiandikie mate na wino upo. Weka picha ambayo unasema ni ya Nairobi au Arusha halafu nitakwambia ni wapi. Kulalamika haitasaidia
 
Ukinionyesha picture yoyote ya Arusha au Nairobi kwenye hizo za Moshi najipiga life bun leoleo. Kubalini tu Kilimanjaro ipo mbali japo inauma ila ndio ukweli mchungu bukoba pambana na buseresere au katoro
Vitu vingi ni vya uongo picha za kilimanjaro ni za uongo. Anachanganya na picha arusha na Nairobi. Moshi pa kawaida sana tofauti na wanavyojisifia
 
Mpambano bado unaendelea. Labda tu mi niwaambie kitu binafsi Bukoba nimeishi tena kashai kwa hiyo maeneo Mengi nayafahamu kama hamgembe,Nyakanyasi,lwamishenye,kahololo, lugambwa ,ihungo,ibwela.mitaa ya Ghana kule lakini kwa Moshi Bukoba bado sana tuwe tu wakweli kwa hilo tena moshi nimefika na nimeenda mpaka uru kishumundu bush huko.kwa hiyo ukweli ubaki kuwa ukweli tu
Ni kweli umesema bukoba bado sana Kwa moshi
 
Me niliwaambia bukoba wakapambane na singida wakajifanya wabishi haya sasa picha za moshi zinawekwa wanalalamika eti ni Nairobi... hahahah...!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom