katabaroa
Member
- Dec 21, 2012
- 70
- 49
Hawa wakishuka stendi wakaenda amugembe kwenda Muleba na Kyaka wanadhani kagera iko ivyo. waambie wakae waone kagera kulivyo.Majengo ya serikali ni ya wale wahindi waliopo migeyo umefika miembeni wewe,kashura kibeta,rwamishenye,jamhuri road,kashozi road, hamugembe je nshambya mafumbo, kahororo,ihungo jee bk haufahamu kumbe kufika stend ya bukoba ni kama nyegezi na mwanza bk hauifahamu hizi hotel za serika-gallery/0a6e11f12dc249274197e0cfd4f92762.jpg[/IMG]![]()