Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
ndo nini sasa au unaogopa ngozi nyeupe???? .
hii nayo kaliKwani moshi kuna nn jipya mkuuWe jamaa unachekesha kweli, unalinganisha Burundi na Kenya, inaonekana hujawahi kufika moshi
Weka na wewe ngozi nyeupe ikila maraha ndani ya Bukoba![]()
![]()
![]()
ndo nini sasa au unaogopa ngozi nyeupe???? .
hii nayo kali

Wewe picha ya pili, mbona ya Iringa? Naona hotel ya Kaundama upande wa kushoto, na jengo la Assas upande wa kulia. Weka picha za Moshi nyingo ili tuweze kuuchambua vizuri.![]()
![]()
Jango la NSSF KILIMANJARO
![]()
KILIMANJARO MOUNTAIN
![]()
![]()
![]()
Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA
![]()
![]()
![]()
Katikati ya manispaa
![]()
Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.
Picha ya 7 please kwa kujichanganya.![]()
![]()
Jango la NSSF KILIMANJARO
![]()
KILIMANJARO MOUNTAIN
![]()
![]()
![]()
Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA
![]()
![]()
![]()
Katikati ya manispaa
![]()
Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.
Weka na wewe ngozi nyeupe ikila maraha ndani ya Bukoba![]()
![]()
![]()
we kiboko!!!! Karne hii unaabudu wazungu??? Bk wengine wlishaamua kuwa wahaya

Nimekwambia weka picha ya wazungu waliokuja bukoba kuchoma dollars zao ili kufurahia maisha kama Mimi nilivyoweka .![]()
![]()
we kiboko!!!! Karne hii unaabudu wazungu??? Bk wengine wlishaamua kuwa wahaya
![]()
![]()
Kama mna watu wa kula bata mbona hamna mahotel ya maana????Nimekwambia weka picha ya wazungu waliokuja bukoba kuchoma dollars zao ili kufurahia maisha kama Mimi nilivyoweka .
Mjomba kwenye hotel ndo usiguse.ni balaa. Moshi kuna hotel nyingi sana tena vijijini siyo mjini za kitaliiKama mna watu wa kula bata mbona hamna mahotel ya maana????