Mkuu ulitaka ipewe nafasi IPI?tanga umekosea
Mkuu ulitaka ipewe nafasi IPI?tanga umekosea
Shikamoo MboweView attachment 452640 Protea Aishi Machame, Mh. Mbowe
Acha utaahira, sasa hapo unashangaa nini?? Mbona wamasai ni kivutio??Hivi ndio vivutio vya kitalii huko bukoba?
Ushamba huu et bukoba ni mkoa ila kweli inajitosheleza kuwa mkoa bk inawapita mbali sanaView attachment 452657 KCMC College lab, East Africa hakuna Lab kama hiyo hata senene wakamatwe mkoa mzima wa BK
Acha hasira mkuu twende taratibu. Kwani wamasai wana dhiki? Ni life style tuAcha utaahira, sasa hapo unashangaa nini?? Mbona wamasai ni kivutio??
Bukoba kamwe hapawezi pagusa moshi. ...