Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
WAHAYA WENGI WANA ROHO MBAYA NA HATUTAENDELEA KIUKWELI. YOUR FELLOW HAYA
 
Baba usihangaike kumshawish mtu bukoba huwez ifananisha na Moshi ikiwa ushafka hzo sehemu,moshi pako vizur mara nyingi zaid ya Bukoba km hutaki shauli yako endeleen kujifariji maana nyie kila kitu kujisismfia,ila kumbuka Moshi ni manispaa na bukoba bado halmaahaur ya Mji wapi na wapi,japo mm cyo wa moshi wala bukoba lkn bukoba big Noo kwa Moshi
Hunataarifa nani kakweleza bukoba ni halmashauri ya mji?? Revist your notes
 
Moshi imepangika vizuri kimji lakini kwa marefu , mapana na mandhari nzuri haioni kitu kwa Bkb. Custom, Buyekera mjini kati, Kashai ,Hamghembe, Rwishenye ,Nshambya, Ihungo, Kahororo ,Kibeta, Kashule, mandhari ya ziwa Bkb ni mwisho wa maneno!!
Ta Kamugisha unaitwa huku!!
mimi Mluguru, Moro ndo home, ila ukiniuliza ipi kati ya hiyo nitakwambia mandhari ya Bukoba yanavutia sana. toka Kibeta, Kyetema, Katerero, Bulila, Kemondo, Kanazi, Kagondo hadi muhutwe napakubali sana, njoo Kyabitembe, Buhembe, Mugeza, Kyakairabwa, Bakoba, Rumuli hadi Kashai town centre pako mukide na hali ya hewa ya huku.
 
WAHAYA WENGI WANA ROHO MBAYA NA HATUTAENDELEA KIUKWELI. YOUR FELLOW HAYA
Kumbuka unatukana watu wazima bibi babu baba hata mama zako laana zitakuzika kabila hilo halina vijana tu kuna na wazee uzikwe na laana zote tuu
 
baada ya kuzitazama picha za miji yote miwili ya bukoba na moshi,niseme tu kwamba kwa mujibu wa picha hizo,kimadhari bukoba inaonekana kuwa juu dhidi ya moshi.

bukoba inapata backup kutokana na picha za juu (aerial shot) ambazo zilipigwa na millard ayo(nadhani alipiga wakati wa tour ya fiesta).

nyingi ya picha za bukoba zinapatikana kiurahisi mitandaoni kiasi cha kurahisha zoezi la kuzi-share hapa.

moshi ina uhaba wa picha(hata uki-google) za kutosha kuweza kuishindanisha na bukoba.ndio maana mashabiki wake wengi wanaishia kurusha vijembe vingi bila picha.

nihitimishe tu kwamba,akina mangi ktk thread hii mmechezea za uso toka kwa kina nshomile.jamaa walijipanga,wana picha nyingi.

akina mango inabidi mpige picha nyingi za mji wenu ili siku nyingine muweze kuzishindanisha na picha za miji mingine.otherwise ipo siku nitakuja na picha zangu za mji wa songea nilizopiga vizuri,nikaomba mpambano halafu nikawashinda.
Moshi ka mji finyu ukipiga kwa juu kanaonekana ka mtaa
 
SENENE NA HIYO KASUMBA YA UMALAYA NAJIKUTA SIITAMAN BUKOBA
 
Hebu jiulizen swami moja tangia lini umeshawah kusikia mtu katoka mkoani kwenda kutafuta maisha bukoba tatizo IPO pembezoni mno na nchi
 
wahaya mbwembwe wakiwa miji ya watu lakin kule kwao ni taka taka tu
 
Tatizo lililopo ni kwamba wachaga wengi walikuwa wanaamini kwamba biashara wao ndio wanafanya peke yao apa Tanzania. Lakini sasa ivi kuna makabila mengi yameinuka Kibiashara sana kama awa wakinga na mpaka awa wachaga, waindi, wapemba na waarabu wanasubiri. Kwa iyo kuona Bukoba ipo juu Awatakiwi kushangaa, Bukoba ipo juuu kitambo sana. Mkoa wa KAGERA unapakana na Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya kwa upande wa Ziwa Victoria kuna biashara nyingi zinafanyika za usafirishaji wa bidhaa nyingi kutoka Dar es salaam Tanzania kwenda izo nchi kupitia apo bukoba, nenda pale kwenye Boda ya Mtukula uone biashara. Izo takwimu za zamani eti mchaga anafanya biashara zile zilikuwa Enzi za Mwalimu. Sasa ivi wachaga wanakimbia moshi wanakwambia akuna pesa wapo mikoa mingine pale moshi Manispaa njaa tupu akuna pesa. Izo takwimu za Moshi kuwa vizuri ilikuwa Enzi za Mwalimu.
Sasa ivi moshi si lolote kwa bukoba, hata wachaga biashara zishawashinda, nenda angalia wahaya, wakinga na makabila mengine wanavyopishana katika miji ya China wameenda kufunga biashara. Sasa ivi moshi inapitwa na mikoa mingi sana wachaga walizoea biashara za dhuruma ndio maana sasa ivi biashara zimewashinda
 
33755f6abacfdb29994ae00d2d2dd4ce.jpg
 
Big up kwa bro wangu Mukhtaru Hassani na Katakweba Hassan Wapo dubai qwa sasa wamefata mzigo arooo mulimu
 
baada ya kuzitazama picha za miji yote miwili ya bukoba na moshi,niseme tu kwamba kwa mujibu wa picha hizo,kimadhari bukoba inaonekana kuwa juu dhidi ya moshi.

bukoba inapata backup kutokana na picha za juu (aerial shot) ambazo zilipigwa na millard ayo(nadhani alipiga wakati wa tour ya fiesta).

nyingi ya picha za bukoba zinapatikana kiurahisi mitandaoni kiasi cha kurahisha zoezi la kuzi-share hapa.

moshi ina uhaba wa picha(hata uki-google) za kutosha kuweza kuishindanisha na bukoba.ndio maana mashabiki wake wengi wanaishia kurusha vijembe vingi bila picha.

nihitimishe tu kwamba,akina mangi ktk thread hii mmechezea za uso toka kwa kina nshomile.jamaa walijipanga,wana picha nyingi.

akina mango inabidi mpige picha nyingi za mji wenu ili siku nyingine muweze kuzishindanisha na picha za miji mingine.otherwise ipo siku nitakuja na picha zangu za mji wa songea nilizopiga vizuri,nikaomba mpambano halafu nikawashinda.
Fantastic
 
Kumbuka unatukana watu wazima bibi babu baba hata mama zako laana zitakuzika kabila hilo halina vijana tu kuna na wazee uzikwe na laana zote tuu
Laana imkute mtu yeyote anayeongerea maswala ya ukabila miaka 50 baada ya uhuru wa kifikra.. Ppl like you is one of the reason ccm bado ipo madarakani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom