Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Bukoba na moshi ni miji tofauti sana. Fananisha Bukoba, musoma, kigoma, sumbawanga, songea, shinyanga, singida. Fananisha Moshi, Morogoro, dodoma, Iringa. Then Njombe, Babati, Geita, Mpanda, lindi. Halafu Dar, Mwanza, mbeya, arusha, Tanga. Kwa mlinganyo huu Sawa. Moshi ni manispaa inayoelekea kuwa jiji wakati Bukoba ni manispaa ambayo bado ina harufu ya halmashauri ya mji.

NAKUOMBA USIFANANISHE SHINYANGA NA VITU VYA KIJINGA
 
acha kupoteza muda kubishana na mhaya kaka. utakesha.
 
Hv wachagga mmeshindwa kuweka picha au na mtandao haushiki nn??? Anyway hamna cha kuonesha [emoji12] [emoji12] mmeufyata na mbwembwe nyingi [emoji23]. Kazi kusema hooo kijijini pamejengwa [emoji85],baada ya kuwazima mjini na vijijini tutakuja jiandae [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nyie jamaa bana.... Sifa nyingi zimewajaaa... Halafu mbaya zaidi ziko damuni... Hata mkipewa dawa hamponi...
 
Hebu jiulizen swami moja tangia lini umeshawah kusikia mtu katoka mkoani kwenda kutafuta maisha bukoba tatizo IPO pembezoni mno na nchi
Hacha kutania kama unajifungia kwenye AC niwewe watu wanatafuta fursa...hata kama ni mbali....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom