Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Ni vzur nmependa kila mkoa ukawa na picha zake za mji kma ulivyopigwa huuu yan ni safiii napenda SNA kufraia mandhari tofaut tofaut
 
Bukoba bado sana kiukweli tukieka ushabiki pembeni Moshi mpaka sasa ndo manispaa pekee tz ya mfano kuanzia miundombinu, watu wake na ustaarabu wake, usafi ubora wa majengo nk bukoba wameizidi moshi labda kwa lile dude la kunasa senene vingine miaka mia wasubidi.
 
Unaota kumbe eti iko ug fika bk mtaa Wa migera karibu na chuo cha ualimu nshambya
Kumbe wewe umeshiba ishami kabisa angalia picha ya kwanza ile yenye Swimming Pool alafu uje hapa utuambie kama hiyo ni Kanyi maana unakokusema ata nikitoka kwangu nje napachungulia ...Migera A kata Nshambya
 
Swimming ni ya walkguard hotel
b9c720649e4aee93fabd401b026ce77c.jpg
 
Aiseeeee wahaya mnachekesha izo hotel za kulala weusi wenzenu hata 3 star hazifiki mnataka linganisha na moshi kumbuken huwezi ukalinganisha mji wakitaliii na mjii wa ajabu nyie kashindaneni na singida bhana
 
kama kuna lami kutoka bukoba kuelekea hizo wilaya nyingine naacha kucomment hapa
 
Aiseeeee wahaya mnachekesha izo hotel za kulala weusi wenzenu hata 3 star hazifiki mnataka linganisha na moshi kumbuken huwezi ukalinganisha mji wakitaliii na mjii wa ajabu nyie kashindaneni na singida bhana
Weusi si ubaya nyie ndio mnaojichubua si muweke picha za moshi
 
baada ya kuzitazama picha za miji yote miwili ya bukoba na moshi,niseme tu kwamba kwa mujibu wa picha hizo,kimadhari bukoba inaonekana kuwa juu dhidi ya moshi.

bukoba inapata backup kutokana na picha za juu (aerial shot) ambazo zilipigwa na millard ayo(nadhani alipiga wakati wa tour ya fiesta).

nyingi ya picha za bukoba zinapatikana kiurahisi mitandaoni kiasi cha kurahisha zoezi la kuzi-share hapa.

moshi ina uhaba wa picha(hata uki-google hazipatkani) za kutosha kuweza kuishindanisha na bukoba.ndio maana mashabiki wake wengi wanaishia kurusha vijembe vingi bila picha.

nihitimishe tu kwamba,akina mangi ktk thread hii mmechezea za uso toka kwa kina nshomile.jamaa walijipanga,wana picha nyingi.

akina mangi inabidi mpige picha nyingi za mji wenu ili siku nyingine muweze kuzishindanisha na picha za miji mingine.otherwise ipo siku nitakuja na picha zangu za mji wa songea nilizopiga vizuri,nikaomba mpambano halafu nikawashinda.
 
Ww shika adabu yaako au unatafuta umaarufu tukujue unatokea bkb..Moshi imemzidi kila kitu bkb kwa maendelek
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom