Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Wanakata Kolomeo hao Wahaya acha kabisaKuna amani Hanna matukio ya uhalifu pia watu wa kule wakarimu sana sio wabaguzi kama unavyoonagaga jamii za wamasai, wameru na wachaga kdg kule arusha
Wanakata Kolomeo hao Wahaya acha kabisaKuna amani Hanna matukio ya uhalifu pia watu wa kule wakarimu sana sio wabaguzi kama unavyoonagaga jamii za wamasai, wameru na wachaga kdg kule arusha
Kweli wewe Mhaya eti inapakana na Kenya na Burundi...Viwanda kama Balimi etc aaah Bukoba bado saana kwanza watu wa huko bado wanasumbuliwa na funza aka jiggersUnavyofikiria sivyo mji Wa bukoba una kilometa za mraba 90 huku moshi ikiwa na 59 hivyo kiukubwa bukoba ni kubwa kuliko moshi. Kwa location bukoba iko location nzuri ukizingatia imepakana na Uganda. Rwanda,Burundi, na Kenya kupitia ziwani,kimzunguko Wa pesa ni mkubwa hasa uwepo Wa bandari, nchi nyingi zilizozunguka,vyuo vingi saut,jocuko,katoke,na open.pia viwanda ni vingi tanika,bunena water,Victoria chalks,vicfish,chai yetu,asilia water,Kabanga water, Mali juice,viwanda vya mafuta ya kujipaka,kagera sugar,viwanda vya maziwa,na balimi,.tena bk IPO katikati ya mwanza na mtukula ambayo miji kuna masoko ya Africa mashariki,biachara ya ndizi ndo usiseme watu ni wengi na bukoba bado INA sehemu kubwa ya kujenga nyumba kuliko moshi ambayo imebanwa na vijiji. Nakushangaa usemapo moshi itangazwe jiji ?
Aaaaaah yan bukoba unafnanisha na mosh achen zarau jamnPunguza viroba bukoba sio mkoa
Matusi ya nini kiwanda cha balimi so kipo mtaa Wa national housing karibu na secondary ya kashai na kiwanda cha asilia maji. Mkoa Wa kagera kupitia wilaya ya ngara unapakana na Burundi na ziwani kenyaKweli wewe Mhaya eti inapakana na Kenya na Burundi...Viwanda kama Balimi etc aaah Bukoba bado saana kwanza watu wa huko bado wanasumbuliwa na funza aka jiggers
Wewe ndo ulipaswa kubalance story na sisi ndo tutoe majibu, kwa sasa tumeshajua tayari wewe ni mzaliwa wa Bukoba.Wenyeji watoe si wanajidai mno
Mkuu mbona Tabora sijaiona hapo!!!Bukoba na moshi ni miji tofauti sana. Fananisha Bukoba, musoma, kigoma, sumbawanga, songea, shinyanga, singida. Fananisha Moshi, Morogoro, dodoma, Iringa. Then Njombe, Babati, Geita, Mpanda, lindi. Halafu Dar, Mwanza, mbeya, arusha, Tanga. Kwa mlinganyo huu Sawa. Moshi ni manispaa inayoelekea kuwa jiji wakati Bukoba ni manispaa ambayo bado ina harufu ya halmashauri ya mji.
Wazee wa lyamba lya mfipaBaada ya huu Uzi anzisheni wa Sumbawa nga vs. Lindi

Moshi ilipata hadhi ya manispaa1988 acha uongoKumbe we uliyepost hujui chochote hujui kuwa bukoba ni manispaa au ni alimashauli ya mji kwanza kabisa tambua bukoba iliitangulia moshi kuwa manispaa ndo uanze kupost