Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
MBNA nyie MNA ziwa victoria? yaan nyie hajatuzid kwa kitu chochote labda majigambo
umaskini ndii jadi yenu
Pamoja na majanga yote bk bado inawagalagaza hivi yasingotokea bk si ingekuwa kama mwanza[/QUOTE]
bukoba haijaifikia moshi hata robo
 
Mkuu mmi natoka bkb naninatembelea Mara kwa Mara bkb na moshi.Tuweke ushabiki pembeni,aisee moshi wapo mbali mno tena kwenye mahotel usiguse kabisa
Waweke picha porojo za nini
 
1483037306587.jpg
 
JE BUKOBA NA MOSHI IPI INACHANGIA ZAIDI PATO? INGIA WEB YA TRA ALAFU URUDI HAPA
YAAN MAPATO YA BKB N MADOGO KULIKO YA WILAYA YA SAME MKOAN KLM
SEMBUSE MOSHI?
SISI WOLAYA ZOTE ZA MKOA WA KLZINAJIWEZA SIO MASKINI KAMA BIHARAMULO,KYERWA,KARAGWE,MISENYI
MTACHUKUA MIAKA 100 KUIFIKIA MOSHI/KLM
Bk imeamuka subiri muje muone[/QUOTE]
hahaha imeamka sa HIV sisi moshi tumeamka zamani sasa mtatukutia wapi? hahaha
 
Nilianzia lusaunga, biharamulo, mlima wa simba, kasindaga, kibaoni, Runazi, rulanga, ilemela, muleba, kagoma, katoke, kemondo, kyetema, bukoba, kafagwe.. ...... Nayafahamu vizuri maeneo haya yote kwa kweli kuifananisha na Moshi ni matusi makubwa ya nguoni yasiyovumilika bukoba mjini ni pa kishamba barabara ina mashimo makubwa ya kitisha.

Barabara zao ni vichochoro stand ni liboma la ajabuajabu majumba yamechakaa kama kilwa masoko au stone town zanziba au lushoto Tanga.

Huwezi kufananisha bukoba na moshi kwanza bukoba ni masikini sana hata report zinaeleza.
HAHAHAHA CNA MBAVU HAWA WAHAYA N SIFA TU HAWANA LOLOTE
 
Nioneshe jengo la Mengi hapo moshi
nenda shant town anamiliki gorofa kadhaa
anamiliki gorofa floor kwanzia 5 sii kama. hapo kwenu gorofa kubwa n floor 2
pia anamiliki kiwanda cha bonite kinachotengeneza soda za coca pmj na maji kilimanjaro
sio kama hapo kwenu tuviwanda TWA. juice mnaita viwanda hahaha
 
Mkuu mmi natoka bkb naninatembelea Mara kwa Mara bkb na moshi.Tuweke ushabiki pembeni,aisee moshi wapo mbali mno tena kwenye mahotel usiguse kabisa
Kanyi resort hipi mtaa gani hiyo mkuu daah unaleta hadi picha za Uganda
 
unaota joh..
nimeish moshi pamoja na bukoba
narudia tena moshi ya kawaida
iz just being overrated...
Moshi nimeishi miaka 15 nasasa nipo Bukoba miaka 8 lakini huwezi kuifananisha na Bukoba Manispaa chafu kuliko dampo
 
Bukoba ni zaidi kwa sababu pale ndio palipozaliwa KKaterero.Hii ni kiboko ya wanawake wote duniani.Nawasilisha kwa ukweli na uwazi.[HASHTAG]#Sitaki[/HASHTAG] ujinga mimi#
 
dah sijawai fika bukoba ila kwa vipicha ivo bukoba bado sana kwa moshi by the way mtoa mada unajitahidi kulazimishia hongera kwa ilo boss
 
ghorofa za alex massawe kule kijijin kibosho ni sawa na mji wote wa bukoba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom