VanMacJastas
Member
- Apr 20, 2016
- 77
- 56
Tuache unazi Moshi huwezi kufananisha na Bukoba,hakuna asiyejua mji wa Moshi ulivyo katika mpangilio,majengo mazuri na bora,achilia mbali usafi ambao mpaka sasa bado ni mji unaoongoza kwa hali ya usafi.Sina maana ya kuishusha Bukoba,Bukoba ni mji mzuri tena sana tu,Ila huuwezi kufananisha Bukoba na Moshi ni vitu viwili vyenye utofauti!!!!