mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,286
- 8,801
JF ndio chaka la wenye jinsia mnyumbulufu, watu wanabadilika jinsia kulingana na uelekeo wa wanajukwaahapana kuna mahali niliona unamwambia mtu utampelekea moto mpka akimbie, wakati mi najua madem ndo wanapelekewa hawapeleki wao😅