secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,240
- 46,265
Enzi hizo nilikuwa na 🆔 fulani ya kitakatifu sana. Wala sikumtongoza.Mbn alishaandika Uzi wa kutafuta sugar daddy kipindi hiko 2013
Enzi hizo nilikuwa na 🆔 fulani ya kitakatifu sana. Wala sikumtongoza.Mbn alishaandika Uzi wa kutafuta sugar daddy kipindi hiko 2013
Ulikuwa Altar boyEnzi hizo nilikuwa na 🆔 fulani ya kitakatifu sana. Wala sikumtongoza.
Well said. Hata wewe si unakumbuka ehh!Ulikuwa Altar boy
Kipindi hiko najiita mtakatifu makirindo wa kaviliWell said. Hata wewe si unakumbuka ehh!
Mimi waliniita Pius wa kumi kutokana na misimamo yangu mikali.Kipindi hiko najiita mtakatifu makirindo wa kavili
Nakumbuka ulivyo mtongoza Faiza foxyMimi waliniita Pius wa kumi kutokana na misimamo yangu mikali.
Hapana bhana! Hebu usipakazie. Kweli Mimi ni mkubwa, lakini Faiza ni bibi sana!Nakumbuka ulivyo mtongoza Faiza foxy