Lunch sio ranchNeno la kwanza am ala pili?

KUNa Mwenye picha ya huyu mama inayoonyesha Kanuna? Hapo ilikuwa siku ya harusi yake
View attachment 626853

Maskini jamani!
Acha dhambi mshana. Maneno yake kweli hayo?? Teh!
Una masikhara na waha wewe.
Hata mlango wa dereva hajafungwA ama haupo.........
ulijibu Kilugha gani mkuuu?nianze kujifunza 😀 😀 😀 😀Hatarihatari ndo maana natumia kiswahili kiingereza sikijui, kuna mtu alinifata pm na kiinglish nikamwambia ngeli siijui zungumza Swahili huwezi potea akatiririka weee nikamjibu kilugha tena bonge ya insha mpaka leo sijamuona
Kiangazaulijibu Kilugha gani mkuuu?nianze kujifunza 😀 😀 😀 😀
Kiangaza tena!kinapatikana wapi?Kiangaza