Kuna tetesi kuwa kituo cha mafuta cha banana kinataka kuchomwa moto na
wananchi walio na gadhabu ya mafuta.
Tunaomba walio karibu watupashe zaidi.
Nawasilisha
..........Tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele.
Kuna tetesi kuwa kituo cha mafuta cha banana kinataka kuchomwa moto na
wananchi walio na gadhabu ya mafuta.
Tunaomba walio karibu watupashe zaidi.
Nawasilisha
Kukichoma moto siyo suluhisho la tatizo muhimu wajaribu kukaa chini na kujadili njia ya kutatua tatizo na sababu zilizopelekea hapo. Tukisema vichomwe moto tutafika wapi? Matatizo hayatatuliwi kwa gadhabu bali utulivu na makubaliano ya pande mbili. Huyu anayeitwa rais wa nchi yupo wapi? Atoe tamko au alipishe jeshi litawale kwa muda kama anaona amechoka
<br />That is non sense, sasa wanachoma vituo vya mafuta kwa lipi? Kwani hao wenye vituo vya mafuta hawana hoja ya msingi? Wananchi washughulike na serikali na si vituo vya mafuta. Maana hao ni wananchi kama walivyo wao, na wao wanataka wauze mafuta kwa faida na si kwa hasara.
<br /><br />That is non sense, sasa wanachoma vituo vya mafuta kwa lipi? Kwani hao wenye vituo vya mafuta hawana hoja ya msingi? Wananchi washughulike na serikali na si vituo vya mafuta. Maana hao ni wananchi kama walivyo wao, na wao wanataka wauze mafuta kwa faida na si kwa hasara.
Amani gani sema uoga wetu....Nashangaa hadi sasa hakuna rection yoyote ambayo waTz tumechukua! Hivi ni kwa nini tunaogopa? Amani yetu inatumiwa vibaya!
ha ha ha, mzee una kituo? basi kama huuzi mafuta ndugu yangu mpaka kufika asubuhi utakuta majivu tu. watu wameshadata tayari.That is non sense, sasa wanachoma vituo vya mafuta kwa lipi? Kwani hao wenye vituo vya mafuta hawana hoja ya msingi? Wananchi washughulike na serikali na si vituo vya mafuta. Maana hao ni wananchi kama walivyo wao, na wao wanataka wauze mafuta kwa faida na si kwa hasara.