Angalizo: Mashine ya mafuta inapotoa hewa badala ya mafuta

w0rM

Member
May 3, 2011
68
164
Wanajamvi habari za muda huu,

Kituo kimoja cha mafuta huko nchi za wenzetu kimeshtukiwa tabia yake ya wizi wa mafuta katika kuwajazia watu mafuta kwenye gari ambao mashine ya mafuta inahesabu huku mafuta yanayoingia ni kidogo sana.

Kuna kipindi Dar es Salaam hapa kulikuwa na mtingo kama huu sijui ulipotea au ndio watu waliacha kufuatilia. Unajaza mafuta unaona mshale haujasogea kabisa kumbe umewekewa hewa.

 
Back
Top Bottom