Breaking news:kituo cha mafuta Banana kinataka kuchomwa moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news:kituo cha mafuta Banana kinataka kuchomwa moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Technician, Aug 10, 2011.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa kituo cha mafuta cha banana kinataka kuchomwa moto na
  wananchi walio na gadhabu ya mafuta.
  Tunaomba walio karibu watupashe zaidi.
  Nawasilisha
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,176
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  safi sana...hapo ndio nidhamu itakuja.....
   
 3. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hao wenye hicho kituo naona wanawatania wastaafu!
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,868
  Likes Received: 3,138
  Trophy Points: 280
  Wasichome vya uchochoroni.. Waanze na HQ zao na waishie vilivyo karibu na ikulu
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,817
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ngoja nimcheki dogo maana yupo pale nijue kama issue hii ipo pale, hii nchi bana...afadhali ya Lowassa.
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  duh! Wananchi naona wamechoka sasa!
   
 7. m

  mgosiwakaya Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wazo zuri sana wacha wachome cause action speaks louder than words! hapo ndipo serikali kiziwi inakapoona watz wamechoka
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,321
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Wacha wavitie moto,maana serikali imeshindwa kudhibiti hii kitu.
   
 9. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 626
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Wanatakiwa kuanza na vile vilivyopo maeneo ya Posta, Mbezi beach, Kariakoo na Magomeni tuone jeuri yao.......................... alafu waje cha shabiby huku DOdoma
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wakatie moto Ikulu kwanza ili watie akili halfu Vituo vyote vya mafuta mwisho Bunge
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,097
  Likes Received: 10,411
  Trophy Points: 280
  Asee wafanye fasta tumechoka saaana na upmbav wao! Na viongozi pamoja na maponjoro ma v8 yao yako road ss walala hoi tunataabika
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  waamie vituo vyote vya sinza bamaga na mwenge BP zote choma moto
   
 13. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 525
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Nashangaa hadi sasa hakuna rection yoyote ambayo waTz tumechukua! Hivi ni kwa nini tunaogopa? Amani yetu inatumiwa vibaya!
   
 14. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  tena nawajinga flani!
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kila kituo kinachokataa kuuza mafuta kipigwe kiberiti fasta ili wenye v2o na serikali wajue kw wananch 2mechoshwa na upuuz wao. Kwanini wana2tesa namna hii??
   
 16. Tympa

  Tympa Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NA jinsi serikali ambavyo haina think-tank wazuri, utasikia wamepeleka FFU kupambana na wananchi(ningependa hii itokee alafu tuone).
   
 17. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 1,954
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hamjamuona mkuu wa kaya anachekelea huku anakula ftari? as if problem ni kufuturu!!! adha ya mafuta hajui kama ni issue
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 19. Tympa

  Tympa Member

  #19
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SII mda utasikia wananchi wanapambana na FFU kuzuia vituo vya mafuta kuchomwa moto.
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  umenikumbusha,kama na shabiby hauz baaaas ina maana na yeye anapinga sera za serikali yake,,,,,
   
Loading...