Dar: Gari kubwa ya mafuta inawaka moto Kimara

kepha_006

JF-Expert Member
Apr 17, 2020
358
639
Kimara kwenye kona ya kuitafuta stop over

Kuna gari kubwa ya mafuta inawaka moto muda huu

Habari zaidi zinafuata.
 
I hope hamna maafa maana bajaji wanaviherehere sana hii barabara
 
Kimara kwenye kona ya kuitafuta stop over

Kuna gari kubwa ya mafuta inawaka moto muda huu

Habari zaidi zinafuata.
Kuna watanzania na vidumu vyao watakuwa mita chache kutoka moto unapowaka, lengo ni kama wataambulia hata lita 1 ya nishati, Mungu tunusuru waja wako!!!
 
Back
Top Bottom