Breaking news:kituo cha mafuta Banana kinataka kuchomwa moto

Nahisi akiko tanzania namatumaini upompompo wa watanzania akuna wakufanya kama hiko anyway tujazie
 
<img src="http://resources1.news.com.au/images/2009/09/14/1225772/487629-service-station-fire-pic-david-chan.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
Mkuu haya ndio mambo yenyewe yameanza?kama ni hivyo basi mambo mazuri.
 
Wenye vituo vya mafuta hawana makosa, wenye makosa ni Serikali na wenye Deport za mafuta.
 
ndio kilichobaki sasa au kuvivamia na kujipimia mafuta demiti
Kuna tetesi kuwa kituo cha mafuta cha banana kinataka kuchomwa moto na
wananchi walio na gadhabu ya mafuta.
Tunaomba walio karibu watupashe zaidi.
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom