Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
1,333
Reaction score
2,958
Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja.

Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya pili ina alama 78 na ya tatu ni Manchester United yenye pointi 68.

Kabla ya ubingwa wa safari hii, Arsenal ilibeba ubingwa huo Mei 15, 2004 ikiwa chini ya Kocha Arsene Wenger wakati safari hii inanolewa na Mikel Arteta.

ARSENAL NI BINGWA WA FA PREMIER LEAGUE MSIMU WA 2025-26.

FB_IMG_1779224993359.jpg

Nifah hongera sana.
 
Arsenal have officially been crowned 2025/26 Premier League champions after rivals Manchester City F.C. failed to keep pace in the title race following their draw with Bournemouth on Tuesday night.
IMG-20260519-WA0023.jpg

The result leaves Arsenal Four points clear at the top of the table with just one match remaining on Sunday, May 24, making it mathematically impossible for Manchester City to catch Mikel Arteta’s side.

It is Arsenal’s first Premier League title in 22 years and their first English league crown since the legendary 2003/04 “Invincibles” season under Arsène Wenger.

The Gunners moved into a commanding position on Monday after a tense 1-0 victory over Burnley F.C. at the Emirates Stadium, with Kai Havertz scoring the decisive goal from a corner delivered by Bukayo Saka.

Manchester City entered their clash against Bournemouth needing a victory to keep the title race alive, but Bournemouth’s strong form proved decisive as Pep Guardiola’s side dropped crucial points.

The triumph marks a major milestone for manager Mikel Arteta, who has transformed Arsenal from top-four hopefuls into champions after several seasons of rebuilding. Arsenal had finished runners-up in the previous three campaigns before finally reclaiming the title this season.

Across North London and the entire World, celebrations erupted among Arsenal supporters, many of whom have waited more than two decades to see the club lift the Premier League trophy again. Social media was flooded with emotional reactions as fans celebrated the end of the club’s long title drought.

Arsenal will now head into the final league match on Sunday, May 24, as champions, with the official trophy presentation expected after their season finale.
 
1779222883378.png


Hatimaye safari ndefu ya kusubiri imefika mwisho kwa mashabiki wa Arsenal F.C. baada ya kutwaa ubingwa wa EPL baada ya miaka 22 tangu msimu wa 2003/04 wa “Invincibles” chini ya Arsène Wenger. 🔥

Chini ya kocha Mikel Arteta, Arsenal wameandika historia mpya huku mashabiki wa wapiga bunduki duniani kote wakisherehekea usiku kucha. Emirates leo ni furaha tupu, machozi ya furaha na nyimbo kila kona 🏟️

Kutoka miaka ya banter, “trust the process”, mpaka kuwa mabingwa wa England tena… kweli mpira una hadithi zake 🏆

Na bado kuna fainali ya UEFA Champions League mbele yao… huenda ubingwa huu wa EPL ukawa mwanzo tu wa mafanikio makubwa zaidi kwa Arsenal msimu huu 🏆🔴
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom