BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

July 2015, bei ya sukari 1kg ilikua 2200 na exchange rate ilikua 1usd =2200. Kwa mtu ambaye alikua mfanyabiashara wakati huo lazima anatambua kua uchumi wetu ulianza kuyumba August 2015 ambapo bidhaa nyingi zilipanda bei kwa 6%. Sukari ilianza kupanda bei kuanzia hapo. Kusema Kilo ya sukari ilikua 1500, hapana hiyo bei ya zamani sana na Magufuli hakuikuta.
 
Kwa hiyo MCHUMI Malisa anataka kutuaminisha Tanzania inaelekea kwenye 'Hyper inflation? Kasomea uchumi chuo gani?
Kwenye currency, maduka ya kubadilisha fedha bei zikoje? Tsh 2500 za 'Bloomberg' ya Malisa & co, au 2,248?
Vijana wadogo mnajikita kwenye siasa za viwango vya chini mkizeeka lazima muwe wachawi.
Sidhani Kama umesoma yote aliyoandika MALISA naona ulitegemea kuhadithiwa nawee uje kutoa povu
hebu kamsome tena!
 
..kwa jinsi serikali hii ilivyo na magumashi ukimuuliza mtu makini nani mkweli kwenye hili la exchange rate atakwambia bloonberg wako sahihi na BoT wanadanganya......mimi pia naamini bloonberg wako sahihi na BoT wamepanick na wanaficha ukweli....kwa sababu hata hali ya uchumi nchini inaelezwa kimagumashi sana wakati indicators kama exports na imports ziko hovyo kabisa...

....safari ya Zimbabwe imeanza na watawala wanahaha kuficha ukweli....
 
Mkuu pamoja na hoja yako ndefu unajua wakati Rais Magufuli anachukua madaraka mwaka 2015 uchumi wa Tanzania ulikuwa una hali gani na alikuta akiba za fedha za kigeni kiasi gani Benki Kuu.
Kimsingi pamoja na kila hujuma zinazofanywa na baadhi ya Tanzania kwa kutumiwa na vibaraka wa kiuchumi Tanzania itajikwamuua kiuchumi chini ya serikali ya awamu ya tano.
Kwa imani za nchi marafiki kwa serikali ya awamu ya tano wafadhili wanazidisha kutoa missada mingi kwa serikali hiyo ni dalili tosha kuwa serikali ipo kwenye njia sahihi kurekebisha uchumi wa nchi hii.
Nyie kama viongozi wa vyama vya upinzani msifurahie kuona nchi inakwamwishwa katika kujenga uchumi imara. Wekeni uzalendo kwanza badala ya maslahi ya vyama.
Thamani ya fedha ya Tanzania ipo vilevile kama Benki kuu ilivyotangaza nenda maduka ya kuchenji fedha upate uhalisia.
Shida mnapenda kusifia ujinga!
 
8a290311a75372e723d68993413f74a3.jpg
e9b3711dcc95fdcbaae1527d31229fdd.jpg
 
Who is GJ Malisa and what are his credentials??? Mbona kama anarukia fani za watu?

Mungu akusaidie sana, umeahindwa kuona hoja yoyote unauliza ni nani??? Nani alikuloga kiasi kikubwa namna hii?
Anaingilia fani za watu? Unauliza ni nani, at the same time anaingilia kazi za watu!! Mtu usiemjua unajuaje anaingilia fani za watu? Kwa kiwango hiki cha fikra, tunahitaji miaka1000 kufikia enlightenment minds.
 
Shida mnapenda kusifia ujinga!
Kwa njia sahihi anayefuata Rais Magufuli ndio maana European Union majuzi walitangaza rasmi watamsaidia kufikia 2025 Tanzania inakuwa nchi ya uchumi wa kati. Hili ni pigo kwa watu wa aina yako.
 
Haya ndio matatizo ya kugoogle halafu unaandika mada inayohitaji utaalam zaidi ya kugoogle.
 
Back
Top Bottom