BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

Awamu hii inashangaza kwenye kuficha upumbavu, yaani kila kitu kibaya wanataka wakifiche, tatizo lipo badala ya kulisolve wanataka watu waamini kua halipo.

Step ya kwanza kusolve tatizo lolote ni kugundua kua lipo, nani atakaa afoji shilingi kushuka thamani hahaha, atafaidi nini? Exchange imeshuka, ni uchumi tu hakuna kitu kingine.
 
Kwa hiyo Mkuu unasema JK ndio kauharibu uchumi?
Escrow bilioni ngapi
Bunge la katiba bilioni ngapi
Safari za nje Bilioni ngapi
Ujenzi wa bomba la gesi over spending bilioni ngapi
Ujenzi wa terminal wa uwanja wa ndege bilioni ngapi ya ziada baada actual budget
Magari 700 ya washawasha bilioni ngapi
Kwa ujumla serikali ya awamu ya tano ilikuwa na matumizi mabovu sana hizo baadhi za mifano.
 
Who is GJ Malisa and what are his credentials??? Mbona kama anarukia fani za watu?

Heeh..

Mwanangu si uchungulie na kula nduki tu kama huna cha kuchangia?

Sasa wewe unauliza Malisa ni nani na ana credentials gani kujadili mambo ya kiuchumi kana kwamba hoja inam - describe Malisa...

Na kama hujaona hoja iliyobebwa na andiko hili, mimi nisikitike tu kukuambia kuwa, una tatizo upstairs.... mwone daktari haraka...
 
Kwa hiyo MCHUMI Malisa anataka kutuaminisha Tanzania inaelekea kwenye 'Hyper inflation? Kasomea uchumi chuo gani?
Kwenye currency, maduka ya kubadilisha fedha bei zikoje? Tsh 2500 za 'Bloomberg' ya Malisa & co, au 2,248?
Vijana wadogo mnajikita kwenye siasa za viwango vya chini mkizeeka lazima muwe wachawi.
Sasa wewe si ndiyo utuambie kuwa Bloomberg wako wrong na ukweli ni kuwa kwenye maduka ya kubadilishia fedha viwango ni hivi!!??

Mimi naona hata wewe huna tofauti na huyu hapa chini mwenzako...
Who is GJ Malisa and what are his credentials??? Mbona kama anarukia fani za watu?
 
Your proposal will impact to the contrary against our economy and especially the strength of our currency. Nikupatie mfano mmoja; Ukiwa Dar au else, where SAA operates na unataka kununua SAA ticket, they will accept nothing short of forex. Lakini ukiwa mji wowote wa SA unataka kununua ticket ya SAA kwenda mahali popote (nje au ndani ya nchi hiyo) SAA au wakala wake will accept no currency other than their lovely Rand! Financial economists know the reason - simply contributing to strengthening their currency. There is economic logic ambayo wewe umei-conceive to the opposite. Kwa waliopotia kwa Osoro wanajua logic hii in its correct sense.
Accordo !
 
Ahsante sana Prof Malisa. Wale Maprof wengine wa vyuo vyetu vikuu mbona hawasemi chochote? Kwa nini Maprof wa Uchumi katika vyo vikuu wako kimya kama vile hawajui chochote kinachoendelea kuhusu uchumi wa Tanzania??
 
Nawauliza nyinyi kina Mangi sijui malisa and so many of the type.
Bei ya exchange rate leo shilingi kwa dola ya us ni iipi ya bloomberg au ya BOT?.

Kwa nini machagadema yoote hukimbilia kuaminisha watu kila kisemwacho na wazungu?.

Je ndio kutimza lengo la mtei kuanzisha chama chenu?
Ikumbukwe kwamba mtei alikosana na Baba wa taifa baada ya kukubali masharti ya IMF bila kupata baraka za Baba wa taifa na kibarua chake kikaishia uwanja wa ndege DSM wakati akirudi nchini toka IMF.

By the way ebu tujulisheni hili
Je chadema mnafuata mlengo gani wa kisiasa?
Hapa tunajadili hoja ya exchange rate. Kama unapenda kujadili ukabila, hamia jukwaa jingine.
 
Who is GJ Malisa and what are his credentials??? Mbona kama anarukia fani za watu?
Hebu jadili hoja ndg USipoteze muda kujadili watu haitusaidii. Je alichoandika kina mashiko au hakina hapo tutajenga nchi yetu
 
Escrow bilioni ngapi
Bunge la katiba bilioni ngapi
Safari za nje Bilioni ngapi
Ujenzi wa bomba la gesi over spending bilioni ngapi
Ujenzi wa terminal wa uwanja wa ndege bilioni ngapi ya ziada baada actual budget
Magari 700 ya washawasha bilioni ngapi
Kwa ujumla serikali ya awamu ya tano ilikuwa na matumizi mabovu sana hizo baadhi za mifano.
Umenilewa swali langu? Maana unanionesha tu pesa zilizotumika au kufisadiwa lakini swali kuhusu uchumi hujajibu.
 
Back
Top Bottom