BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

I agree with you for once, will take it as a compliment, but you can’t play dumb either ignoring the fundamentals, the facts and the variables! These things don’t move by emotions but formula, adding, subtracting and you name it. Au hizi variables ni Bavicha?!

Which one would you rather be?!
Napenda comments za aina yako ambazo hazina lugha mbaya wala hasira kwa kuelimisha mtu, lam sorry hizi comments zako sio from Bavicha ni from the facts
Congratulations Mr Alex
 
[HASHTAG]#Pili[/HASHTAG]; ni kuwa na uchumi tegemezi wa knunua zaidi nje kuliko kuuza (import oriented economy). Tunaponunua zaidi nje maaana yake ni kwamba tunahitaji akiba kubwa ya fedha za kigeni. Tunapokuwa na demand kubwa ya fedha za kigeni maana yake pesa za kigeni zinakuwa na thamani kubwa kuliko sarafu yetu (the higher the demand the higher the price), na hivyo sarafu yetu inaporomoka. Na hii inaweza kuwa imecahangia sana kwa sababu ni kweli tunanunua zaidi nje kuliko tunavyouza.

Leo mtu akipata mtaji wa milioni 10, 20 anakimbilia China kwenda kuleta nguo, simu, saa, hereni etc. Thamani tunayouza nje ni ndogo sana kuliko tunayonunua.

Unaponunua zaidi nje unapunguza reserve ya pesa zako za kigeni na hivyo sarafu yako kuporomoka. Lakini unapouza zaidi nje unamaintain reserve ya pesa za kigeni na sarafu yako itapanda kwa sababu wanunuzi wa nje wataitafuta sarafu yako ili waweze kufanya purchase. Kabla BOT hawajabisha waangalie upya thamani tunayouza na kununua nje ya nchi ikoje (Balance of Payments).
Balance of Trade mpaka June 2017 ilikuwa na surplus ya 637m$. Fuatilia ...
Exports of goods and services ilikuwa karibu 9.3b$ na import bill ilishuka hadi 8.7b$.
 
Punguza presha haya ni majadiliano tu, ukijadili jambo kwa mihemuko you won't achieve anything.

Ishu ni kwamba je yupi aliye sahihi kutokana na uimara wa shilingi yetu against USD, Bloomberg au BOT, ni grounds zipi zimetumiwa na Bloomberg kutoa figure hiyo, ni kweli shilingi yetu imeshuka thamani au ni propaganda za nchi tajiri tu, jadili.
Inatakiwa kujua tofauti kati ya spinners na authority when it comes to forex arbitrage. Decisions za transactions za kitaifa na kimataifa haziendeshwi kwa vitaarifa vya kuokoteza; EU huongozwa na rates zinazotolewa na ECB, UK ni BoE, US ni Fed, commercial transactions hu-quote Oanda. Sasa huyo spinner ataandikaje makala ndefu kuthibitisha taarifa ambazo hata BoT wamefafanua kuwa Bloomberg walikosea halafu sisi tunaojua ukweli tusimkosoe vehemently!
 
Ongeza;

1. Tusidhibiti kupitiliza usajili na utendaji wa NGOsi zinazoingiza pesa za kigeni kuboresha maisha ya jamii nk.
2. Wakulima wasafirishe mahindi/nafaka kuuza nje bila shurti la kusaga unga nk. Unga una shelf life ya wiki ngapi.??
3. Sirikali idhibiti uingizaji wa vipodozi na vitu visivyo na tija au maslahi kwa wengi.
4. Wakandarasi/ Waelekezi wa miradi mikubwa mfano Flyovers waongeze ajira kwa wazawa na manunuzi ya ndani na wawalipe kwa dola kama wao wanavyolipwa.
5. Wageni na watalii wakipanda Bombardier safari za ndani walipie kwa dollar
Your proposal will impact to the contrary against our economy and especially the strength of our currency. Nikupatie mfano mmoja; Ukiwa Dar au else, where SAA operates na unataka kununua SAA ticket, they will accept nothing short of forex. Lakini ukiwa mji wowote wa SA unataka kununua ticket ya SAA kwenda mahali popote (nje au ndani ya nchi hiyo) SAA au wakala wake will accept no currency other than their lovely Rand! Financial economists know the reason - simply contributing to strengthening their currency. There is economic logic ambayo wewe umei-conceive to the opposite. Kwa waliopotia kwa Osoro wanajua logic hii in its correct sense.
 
[HASHTAG]#Tatu[/HASHTAG]: ni madeni ya serikiali (Government Debt). Serikali inapokopa sana nje inapunguza security ya sarafu yake. Ni sawa na nyumba yako uliyojenga kwa milioni 100, ukitaka mkopo wa haraka bank na wakajua una shida sana wanaweza kuithaminisha hata kwa milioni 70. Na wewe utakubali tu kwa sababu una shida. Mkopoo wowote unaokopa kwa sababu una shida saaana, led to undervalue your capital asset.

Sasa jiulize je Tanzania tumewahi kuwa kwenye shida kubwa saaana kiasi cha kukopa mkopo unaoweza kuwa umepelekea capital asset zetu kuwa undervalued? Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ndugu Zitto Kabwe mwezi September mwaka huu, Taasisi ya fedha ya Credit Suisse ya nchini Uswisi, ilikiri kuikopesha Tanzania dola milioni 500 (karibu shilingi Trilioni 1.2) kwa masharti ya kulipa kwa miaka mitano, kwa riba ya karibu asilimia mia moja.

Mkopo huo ambao Tanzania inadaiwa kukopa kwa siri unatolewa na kundi mabenki (Syndicated loan) kupitia taasisi hiyo ya Credit Suisse uliibuliwa na Ndugu Zitto na Credit Suisse wakakiri kutukopesha, japo serikali ilikataa kutoa majibu ya tuhuma hizo. Kwa hiyo ikiwa taarifa hizi ni za kweli basi hii inaweza kuwa moja ya sababu ya sarafu yetu kuporomoka (A country with higher government debt is less likely to acquire foreign capital, leading to inflation and currency depreciation).
Siyo mara ya kwanzan serikali kuchukua mkopo Credit sisse. Tofauti ya mara hii, kulikuwa na reduction kubwa ya matumizi ya serikali mpaka budget ilipokaribia kuisha. Budget ilipangwa kuwa na deficit ya 4.9 trillions, mpaka Juni actual deficit ilikuwa 1.89T. Foreign financing, budget ilikuwa trilioni 3.3 na mpaka juni foreign financing actual ilikuwa 2.1T kwa hiyo kuna wigo la ziada la 1T hiyo mpaka June. kama umesevu hela, unaweza kuwa na luxury ya kukopa.
 
Hiv inch jiran wana rasilimali zip zaid ya kuwashinda Tz.....ni kwa sababu zipi hasa tukawa nyuma kwa kila kitu kama mikia....yaan inaumiza kichwa kwakweli....yaan tuangalie tu...

Mnajua kua planing is a source of the successfull.
Without good planing in any issue or program u want to do never get possitive successful
You seem to be a spin doctor's victim already!
 
Hata wewe ni mbumbumbu wa maswala ya kiuchumi...
Huyo unaemtetea nimeacha kusoma aliposema tanzania ilipitia inflation ya sukari????? Inflation inapimwa kutokana na bidhaa nyingi..mchumi kuongelea inflation ya bidhaa moja ni kuonyesha hujui unachosema....Consumer Price Index (CPI) ni 'kikapu' na hakipimwi kwa bidhaa mojamoja in isolation..thats Ecos 101..alafu unadanganya Tanzania inapitia Hyperinflation na kuelekea Galloping inflation...upuuzi mtupu!!!!! niko barabarani nitarudi
Hivi kuna substitute ya mbumbumbu ....soma vizuri katolea mfano sukari lakini kwa ujumla kila kitu kimepanda bei...mahindi, mafuta, bidhaa za nyumbani na bado vitapanda zaidi au haupo tz nini?
 
Mkuu pamoja na hoja yako ndefu unajua wakati Rais Magufuli anachukua madaraka mwaka 2015 uchumi wa Tanzania ulikuwa una hali gani na alikuta akiba za fedha za kigeni kiasi gani Benki Kuu.
Kimsingi pamoja na kila hujuma zinazofanywa na baadhi ya Tanzania kwa kutumiwa na vibaraka wa kiuchumi Tanzania itajikwamuua kiuchumi chini ya serikali ya awamu ya tano.
Kwa imani za nchi marafiki kwa serikali ya awamu ya tano wafadhili wanazidisha kutoa missada mingi kwa serikali hiyo ni dalili tosha kuwa serikali ipo kwenye njia sahihi kurekebisha uchumi wa nchi hii.
Nyie kama viongozi wa vyama vya upinzani msifurahie kuona nchi inakwamwishwa katika kujenga uchumi imara. Wekeni uzalendo kwanza badala ya maslahi ya vyama.
Thamani ya fedha ya Tanzania ipo vilevile kama Benki kuu ilivyotangaza nenda maduka ya kuchenji fedha upate uhalisia.
Punguza hisia ...umeenda bureau ukakuta ndo hiyo
 
BENKI KUU WANATUMIKA KISIASA

Malisa GJ
________
Nimeona taarifa ya BOT ikikanusha kuwa sarafu ya Tanzania haijaporomoka, badala yake ni kwamba kuna watu kwenye financial software ya Bloomberg wameamua kuchezea data kwa makusudi kwa kuweka figure zisizo sahihi ili kupotosha. BOT wanasema kuwa tayari wameshawasiliana na Bloomberg ili kurekebisha makosa hayo.

Utetezi huu wa BOT una kasoro nyingi. Kwanza wanajitetea kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola, lakini ukweli ni kwamba shilingi imeporomoka dhidi ya sarafu zote za kigeni na sio dola tu. Jana majira kama haya shilingi moja ya Kenya ilikuwa sawa na shilingi 21 za Kitanzania (bei ya kuuza), lakini leo shilingi moja ya Kenya ni sawa na shilingi 24.5.

Yani jana ulihitaji shilingi 21,000/= tu za Kitanzania kupata 1,000/= ya Kenya. Lakini leo ili upate 1,000/= ya Kenya unahitaji 24,500/= za kitanzania. Kwa hiyo shilingi yetu imeporomoka dhidi ya sarafu zote, sio dhidi ya dola tu kama BOT wanavyojaribu kueleza.

Pili nashauri BOT wajielekeze kwenye kiini cha tatizo badala ya kuficha tatizo. Kwanini wanajaribu kuficha? Kwa faida ya nani? Shilingi imeporomoka na hata waliotuma fedha leo ni mashahidi. Kwanini waseme data zimechezewa Bloomberg?
Njia rahisi ya kutatua tatizo ni kwanza kukiri kuwa lipo. Ukikataa tatizo huwezi kamwe kulitatua.

Moja ya sifa ya kuongoza taasisi za fedha ni kuwa mkweli katika kiwango cha juu kabisa, na kufanya mambo kwa nia njema sio kwa nia ya kufurahisha wanasiasa (Honesty and utmost good faith). Moja ya mambo yaliyofanya uchumi wa Uganda kuharibika vibaya na thamani ya sarafu yao kuporomoka sana ni Benki kuu ya nchi hiyo kukubali kutumika kisiasa. Idd Amin alikuwa akimuamuru Gavanor wa benki kuu nchini humo aseme uchumi upo imara hata pale mambo yalipokuwa magumu.

Anyway, kwangu taarifa hii ya kuporomoka kwa sarafu yetu ni jambo nililotegemea kulisikia. Pengine limeshtua watu kwa kuwa imekuwa ghafla sana na kwa kiwango kikubwa mno kuwahi kutokea katika historia ya nchi. Ndani ya masaa machache tu dola moja ya kimarekani imepanda kutoka shilingi 2,200/= hadi 2,500/=. Tumepoteza shilingi 300/= kwa kila dola moja ndani ya masaa machache.

Yani kwa mtu aliyetaka kutuma pesa nje ya nchi jana, letz say dola 5000, akachelewa na kutuma leo amepata hasara ya Shilingi milioni moja na nusu. Katika kila dola elfu moja amepata hasara ya laki tatu. Hali hii haijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru.

Zipo sababu kadhaa zinazoweza kuwa zimesababisha mporomoko huu mkubwa kabisa katika historia.

[HASHTAG]#Mosi[/HASHTAG]; ni mfumuko wa bei (Inflation rate). Kwa kaawaida mfumuko wa bei unapokuwa mkubwa, sarafu inapoteza ile nguvu yake ya manunuzi (purchasing power) na matokeo yake inaporomoka dhidi ya sarafu za nje. Hapa nchini mfumuko wa bei umeanza kutishia wanunuzi wa bidhaa mbalimbali. Kwa mfano wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,500/= hadi 1,800/= kiwa kilo, lakini leo bei ni kati ya shilingi 2,500/= hadi 3,000/= kwa kilo.

If other factors remain constant tunaweza kusema mfumuko wa bei kwenye bidhaa ya sukari umekuwa kwa zaidi ya asilimia mia moja. Maana yake ni kwamba we are no longer at Moderate inflation, rather tunakaribia kwenye Hyper Inflation from Galloping one. Najua kwamba mfumuko wa bei haupimwi kwa bidhaa moja, badli didhaa nyingi kwa kuzingatia Consumer Price Index (CPI), ndio maana nikatangulia kusema lets put other factors remain constant.

[HASHTAG]#Pili[/HASHTAG]; ni kuwa na uchumi tegemezi wa knunua zaidi nje kuliko kuuza (import oriented economy). Tunaponunua zaidi nje maaana yake ni kwamba tunahitaji akiba kubwa ya fedha za kigeni. Tunapokuwa na demand kubwa ya fedha za kigeni maana yake pesa za kigeni zinakuwa na thamani kubwa kuliko sarafu yetu (the higher the demand the higher the price), na hivyo sarafu yetu inaporomoka. Na hii inaweza kuwa imecahangia sana kwa sababu ni kweli tunanunua zaidi nje kuliko tunavyouza.

Leo mtu akipata mtaji wa milioni 10, 20 anakimbilia China kwenda kuleta nguo, simu, saa, hereni etc. Thamani tunayouza nje ni ndogo sana kuliko tunayonunua.

Unaponunua zaidi nje unapunguza reserve ya pesa zako za kigeni na hivyo sarafu yako kuporomoka. Lakini unapouza zaidi nje unamaintain reserve ya pesa za kigeni na sarafu yako itapanda kwa sababu wanunuzi wa nje wataitafuta sarafu yako ili waweze kufanya purchase. Kabla BOT hawajabisha waangalie upya thamani tunayouza na kununua nje ya nchi ikoje (Balance of Payments).

[HASHTAG]#Tatu[/HASHTAG]: ni madeni ya serikiali (Government Debt). Serikali inapokopa sana nje inapunguza security ya sarafu yake. Ni sawa na nyumba yako uliyojenga kwa milioni 100, ukitaka mkopo wa haraka bank na wakajua una shida sana wanaweza kuithaminisha hata kwa milioni 70. Na wewe utakubali tu kwa sababu una shida. Mkopoo wowote unaokopa kwa sababu una shida saaana, led to undervalue your capital asset.

Sasa jiulize je Tanzania tumewahi kuwa kwenye shida kubwa saaana kiasi cha kukopa mkopo unaoweza kuwa umepelekea capital asset zetu kuwa undervalued? Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ndugu Zitto Kabwe mwezi September mwaka huu, Taasisi ya fedha ya Credit Suisse ya nchini Uswisi, ilikiri kuikopesha Tanzania dola milioni 500 (karibu shilingi Trilioni 1.2) kwa masharti ya kulipa kwa miaka mitano, kwa riba ya karibu asilimia mia moja.

Mkopo huo ambao Tanzania inadaiwa kukopa kwa siri unatolewa na kundi mabenki (Syndicated loan) kupitia taasisi hiyo ya Credit Suisse uliibuliwa na Ndugu Zitto na Credit Suisse wakakiri kutukopesha, japo serikali ilikataa kutoa majibu ya tuhuma hizo. Kwa hiyo ikiwa taarifa hizi ni za kweli basi hii inaweza kuwa moja ya sababu ya sarafu yetu kuporomoka (A country with higher government debt is less likely to acquire foreign capital, leading to inflation and currency depreciation).

[HASHTAG]#Nne[/HASHTAG]; ni masharti ya biashara (Terms of Trade). Kwa kawaida kama masharti ya biashara ni magumu maana yake unafukuza wawekezaji na hivyo unapunguza kiasi cha fedha za kigeni ambacho kingekuja kwako kupitia mitaji ya uwekezaji (foreign capital). Tanzania tuna masharti magumu sana ya biashara kwa waeekezaji kutoka nje. Hivi majuzi tulitajwa kuwa nchi ya 137 kwa urahisi wa biashara duniani, huku Rwanda wakitajwa kuwa wa 41, na Kenya ya 80.

Maana yake ni kwamba wawekezaji wengi watakimbilia kuwekeza Rwanda au Kenya kuliko Tanzania. Hata ada za usajili kwa wawekezaji Tanzania ni dola 250 wakati Rwanda ni dola 35 na Kenya ni Dola 40. Sasa unategemea mwekezaji apeleke mtaji wake wapi? Wawekezaji wakipeleka mitaji yao Rwanda au Kenya moja ya faida zitakazopata nchi hizo ni sarafu za nchi zao kuimarika kutokana na foreign capital. Kwa hiyo kabla BOT hawajatoa tuhuma Bloomberg wapitie upya mashrti ya uwekezaji nchini.

[HASHTAG]#Tano[/HASHTAG]; ni matumizi holela ya fedha za kigeni ndani ya nchi. Unaporuhusu watu kufanya purchase kwa kutumia fedha za kigeni maana yake unapunguza nguvu ya manunuzi kwa sarafu yako, na matokeo yake sarafu yako itaporomoka.

Leo ukienda maduka makubwa utakuta watu wanafanya manunuzi kwa kutumia Dollar, Euro, British Pound etc. Na serikali ipo kimya tu. Inasubiri sarafu yetu iporomoke ije kukanusha kuwa kusema data zimekosewa huko Bloomberg, wakati ilipaswa kuchukua hatua mapema.

Jaribu kutembelea maduka makubwa kama Mlimani city, Rock city mall utakuta baadhi ya bidhaa zinauzwa kwa dollar. Yani mtu amebandika beji ya dola kwenye nguo anayouza na wala haoni ajabu. Ukienda anakwambia hiyo shati dola 20. Na viongozi wetu wanapita kwenye maduka hayo na wanafanya manunuzi wanaona huo ujinga na hawakemei. (dolarization of Economy). Kuna shule na vyuo ada zinatozwa kwa dollar tunaangalia tu. Kuna hospitali matibabu yanalipiwa kwa dollar tunaangali tu. Kuna hoteli zinacharge kwa dollar tunaangalia tu.

Nchi makini huwezi kukuta huu ujinga. Nakumbuka nilipokuwa Kenya kwenye hoteli niliyofikia nje kuna duka la kubadilisha fedha. Kama umeenda na dollar zako au shilingi za kitanzania unabadilisha kwanza, unapewa pesa za Kenya ndio unaenda kulipa hotelini. Ukienda reception na pesa za kigeni hawapokei. Wanakushauri ubadili kwanza. Hii inaonesha namna walivyo serious kulinda uchumi wao.

Hapa kwetu mtu akija dukani kwako akafanya manunuzi kwa dollar ndio unamuona wa maana, na kukenua meno yote bila kujua unaporomosha uchumi na kushusha sarafu ya nchi yako. Kwahiyo kabla BOT haijawasingizia Bloomberg ihakikishe kwanza inadhibiti matumizi holela ya pesa za kigeni kwenye manunuzi ya ndani. Pesa za kigeni zisiruhusiwe kabisa kwenye domestic market.

[HASHTAG]#Sita[/HASHTAG]; Ni hali ya kisiasa ya nchi (Political stability). Hali ya kisiasa inapokuwa nzuri inavutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza mitaji yao hapa na hivyo kuimarisha sarafu yetu (Increase in foreign capital, in turn, leads to an appreciation in the value of its domestic currency). Lakini hali ya kisiasa inapokuwa inatilia mashaka, wawekezaji wengi hukimbiza mitaji yao na hivyo kusababisha sarafu ya nchi kuyumba.

Hakuna muwekezaji anayependa kubughudhiwa na vyombo vya dola. Hivi majuzi tumeshuhudia magari ya Dangote yakifungwa cheni, hii inaweza kusababisha Dangote kuamua kufunga uwekezaji wake nchini ambao ni wa zaidi ya Dola Bilioni kadhaa. Ikitokea hivyo maana yake anahamisha mtaji, na moja ya athari zake ni kwenye kuporomoka kwa saraf yetu.

Lakini ukiacha Dangote, je hakuna wawekezaji wengine walibughudhiwa na kuamua kuhamisha mitaji yao? Kama wapo basi wameathiri sarafu yetu. Kwa hiyo kabla BOT hawajatupa tuhuma Bloomberg, ni vizuri wakaangalia hali ya kisiasa nchini kama inafavor wawekezaji na waishauri serikali ichukue hatua zinaizofaa.

Zipo sababu nyingi, hizi ni baadhiu tu. Lakini hoja yangu ni kwamba BOT watafakari upya kabla ya kutupa tuhuma Bloomberg. Kuna mengi yamechangia kuporomoka kwa sarafu yetu zaidi ya hizo data kuchezewa huko Bloomberg. Tusifiche tatizo, tuliweke bayana na tusaidiane kulitatua. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo. Tanzania ni yetu sote, tushirikiane kuijenga.

AHSANTENI
 
G

Mfumuko wa bei umekuwa kwa zaidi ya asilimia mia moja kwenye bidhaa ya sukari. Maana yake ni kwamba we are no longer at Moderate inflation, rather tunakaribia kwenye Hyper Inflation from Galloping one. Hali hii inasababisha sarafu yetu kuoporomoka kwa kiasi kikubwa.

[HASHTAG]#Nne[/HASHTAG]; ni masharti ya biashara (Terms of Trade). Kwa kawaida kama masharti yako ya biashara ni magumu maana yake unafukuza wawekezaji na hivyo unapunguza kiasi cha fedha za kigeni ambacho kingekuja kwako. Tanzania tuna masharti magumu sana ya biashara kwa waeekezaji kutoka nje. Hivi majuzi tulitajwa kuwa nchi ya 137 kwa urahisi wa biashara dunian, huku Rwanda wakitajwa kuwa wa 41.

Maana yake ni kwamba wawekezaji wengi watakimbilia kuwekeza Rwanda badala ya Tanzania. Hata ada za usajili kwa wawekezaji Tanzania ni dola 250 wakati Rwanda ni dola 35. Sasa unategemea mwekezaji apeleke mtaji wake wapi? Wawekezaji wakipeleka mitaji yao Rwanda moja ya faida watakayopata wanyarwanda ni sarafu ya nchi yao kuimarika. Kwa hiyo kabla BOT hawajatoa tuhuma Bloomberg wapitie upya mashrti ya uwekezaji nchini.

Jaribu kutembelea maduka makubwa kama Mlimani city, Rock city mall utakuta baadhi ya bidhaa zinauzwa kwa dollar. Yani mtu amebandika beji ya dola kwenye nguo anayouza na wala haoni ajabu. Ukienda anakwambia hiyo shati dola 20. Na viongozi wetu wanapita kwenye maduka hayo na wanafanya manunuzi wanaona huo ujinga na hawakemei. This is dolarization of Economy.

Nchi makini huwezi kukuta huu ujinga. Nakumbuka nilipokuwa Kenya kwenye hoteli niliyofikia nje kuna kuna duka la kubadilisha fedha. Kama umeenda na dollar zako au shilingi za kitanzania unabadilisha kwanza, unapewa pesa za Kenya ndio unaenda kulipa hotelini. Ukienda reception na pesa za kigeni hawapokei. Wanakushauri ubadili kwanza. Hii inaonesha namna walivyoi serious kulinda uchumi wao.

Hapa kwetu mtu akija dukani kwako akafanya manunuzi kwa dolar ndio unamuona wa maana, na kukenua meno yote bila kujua unaporomosha uchumi na kushusha sarafu ya nchi yako. Kwahiyo kabla BOT haijawasingizia Bloomberg ihakikishe kwanza inadhibiti matumizi holela ya pesa za kigeni kwenye manunuzi ya ndani. Pesa za kigeni zisiruhusiwe kabisa kwenye domestic market.

Lakini ukiacha Dangote, je hakuna wawekezaji wengine walibughudhiwa na kuamua kuhamisha mitaji yao? Kama wapo basi wameathiri sarafu yetu. Kwa hiyo kabla BOT hawajatupa tuhuma Bloomberg, ni vizuri wakaangalia hali ya kisiasa nchini kama inafavor wawekezaji na wakashauri serikali ichukue hatua zinaizofaa.

Zipo sababu nyingi, hizi ni baadhiu tu. Lakini hoja yangu ni kwamba BOT watafakari upya kabla ya kutupa tuhuma Bloomberg. Kuna mengi yamechangia kuporomoka kwa sarafu yetu zaidi ya hizo data kuchezewa huko Bloomberg. Tusifiche tatizo, tuliweke bayana na tusaidiane kulitatua. Tanzania ni yetu sote, tushirikiane kuijenga.

Malisa GJ
Malisa GJ jiandae kuhojiwa kwa uchochezi kwa vile zitto wameitwa na kamati tendaji yote ww uende na familia yako yote kuhojiwa
 
Bandiko la akili sana. Ukweli utatuweka huru. Umakini utatupeleka mbele. Umoja wa kitaifa, siyo u-CUF, u-CCM, u-Bashite, Umoja wa kweli wa kitaifa, utatuimarisha.
 
Mi ningependa kujulshwa, hivi kumbe kuna uwezekano wa Shilingi kuporomoka dhidi ya dola tu na ikawa iko sawa dhidi ya fedha zingine? Kuuliza si ujinga wakuu.
 
Kutoka kwenye uchumi wa Kudanganyana kwenda kwenye uchumi halisi. Maana yangu mkuu lazima ufanye kazi kama unataka ku survive. Hatua nyingine ni kuhakikisha madini na maliasili za watanzania zinatumika kwa manufaa ya watanzania wote. Hao Bloomberg ni wakala wanaolipwa na Barrick Gold katika kutangaza biashara zao
Nani hafanyi kazi
 
Ukipenda sifa sana utakuwa moungo tu wazee wa mtaficha mpaka lini?
 
Hawataki kuharibu ushahidi wa kesi ya data ya zzk.
 
Uchumi wa nchi yeyote uliokuwa umeharibiwa usitegemee utajengwa kwa miaka miwili. Soma article yangu vizuri Mheshimiwa Rais Magufuli alipochukua madaraka alikuta hali ya nchi vipi kiuchumi. Kumbuka mwaka 2005 Rais mstaafu Kikwete alipochukua madaraka alikuta hali ya uchumi wa nchi mzuri sana kwa kazi iliyofanywa na Rais mstaafu Mkapa.
Kwa hiyo Mkuu unasema JK ndio kauharibu uchumi?
 
tufanye ka utafiti wakati tunasubiri ufafanuzi wa kitaalamu kutoka Mamlaka husika.Kujua nadharia na kudadabua ni vitu viwili tofauti.Maelezo hapo juu yamekaa kinadharia yanahitaji kuongezewa minofu ya takwimu,Ila ni uchokonozi ,mzuri utatusaidia kupata abc ya uchumi wa nchi yetu,.Hii inaonyesha ni kwa kiwango gani Wananchi wanafuatilia matukio muhimu kwenye maendeleo ya nchi yetu,Bravo.
 
Back
Top Bottom