BoT wajitafakari kabla ya kuwatuhumu Bloomberg

That's local market we are talking about global market, mhindi wa Bombay anayekuja kununua mbaazi Mtwara hatouliza exchange rate kwenye duka la Manzese bureau de change ata check na rates za Bloomberg a well known, globally, trusted and reliable source.
Huyo mhindi wa India akitaka kununua mbaazi atapitia BOT sio Bloomberg na kwa ufahamisho sasa serikali hii iko makini katika masuala ya fedha za kigeni. Tatizo lenu kila siku mtakuwa mnatafuta makosa ya serikali ya awamu ya tano lake Inshaalah Mwenyezi Mungu ataifanikisha.
 
Msitafute visingizio kila kitu nyie mnahujumiwa, mnaambiwa shilingi imeshuka si kwa dola tu hata kwa Kshs nyie mnasema ni hujuma za Bloomberg, Bloomberg wahujumu shilingi ya Tanzania ili wapate nini kwanini wasihujumu Yen au Rupees zinazo trend vizuri na nchi zao zina biashara ya kuaminika waje wahujumu weak shilingi ya nchi masikini kama Tanzania.

Pambaneni na hali yenu hii ndiyo vita ya kiuchumi mlivyokuwa mnaitaka, if you can't stand the heat get out of the kitchen.
Rais Magufuli ni Strongman hababaishwi na kelele zenu na wala hatageuka nyuma kugeuka nyuma katika mapambano ya kuleta ufanisi kwa uchumi wa Tanzania.
Leo Chadema wakipewa madaraka nategemea nchi hii itawekwa rehani.
 
Alichoandika kina mantiki au hakina? Jee kuna chembe chembe ya uongo kwenye alichoandika?
Huyo jamaa anachojua ni kupinga tu, haangalii hoja Iliyopo bali anaangalia anachopenda. Watu wa aina hiy
mate hawatumii akili zao vizuri bali wanaruhusu akili zao kutumiwa na wengine. Wako kama zumari ambalo linaimbishwa wimbo lisiloujua.

Vv
 
Ana hoja ila bei ya dollar bado ni 2200 sijui hiyo 2500 yake na Bloomberg waliitoa wapi.

Ni Wazi Bloomberg walikosea sababu bei ya dollar haijafika 2500 na BOT wanajukumu la kuweka rekodi sawa, ila pia BOT wanajukumu lakusimamia nguvu ya sarafu zaidi ya kuwa faster kukanusha.
 
Huyo mhindi wa India akitaka kununua mbaazi atapitia BOT sio Bloomberg na kwa ufahamisho sasa serikali hii iko makini katika masuala ya fedha za kigeni. Tatizo lenu kila siku mtakuwa mnatafuta makosa ya serikali ya awamu ya tano lake Inshaalah Mwenyezi Mungu ataifanikisha.

Is BOT turn into stock exchange! Wanauza mbaazi??

Na kama unakusudia to reflect a change of USD to TZS then, you are only hammering the local seller? Don’t you think that doesn’t add up?

And if the seller I presume a farmer goes to international market looking for pembejeo, in your thinkings will look at BoT? And if he does, where would the BOT gets its depleted reserve,

In other words logically you put a farmer ie a seller and BOT on downward trend ie collapsing

Mkuu, hesabu! hesabu!
 
Huyo jamaa anachojua ni kupinga tu, haangalii hoja Iliyopo bali anaangalia anachopenda. Watu wa aina hiy
mate hawatumii akili zao vizuri bali wanaruhusu akili zao kutumiwa na wengine. Wako kama zumari ambalo linaimbishwa wimbo lisiloujua.

Vv
OK sawa, sasa tuambie ukweli wenyewe.
 
Is BOT turn into stock exchange! Wanauza mbaazi??

Na kama unakusudia to reflect a change of USD to TZS then, you are only hammering the local seller? Don’t you think that doesn’t add up?

And if the seller I presume a farmer goes to international market looking for pembejeo, in your thinkings will look at BoT? And if he does, where would the BOT gets its depleted reserve,

In other words logically you put a farmer ie a seller and BOT on downward trend ie collapsing

Mkuu, hesabu! hesabu!
Transfer zote za fedha za kigeni hupitia BOT. Na Benki zote pamoja na Bureau de Change zote zinafanya kazi chini ya BOT. Mbali na hayo thamani ya pesa za kitanzania huwa na inatolewa na BOT Dar sio Bloomberg Washington. Mwache kutufundisha uchumi wa Bavicha.
 
Mkuu I’m not a Bavicha and never been one, but I have a huge respect if someone throwing the facts and technicals analysis, sipendi ngonjera na politics out of a box ie driven by mhemko.. which will remain as taarab to me and many many more

Swali!
Is the BoT controlling USD ?
 
Nenda Bureau de change ukaone au ukachenji uone rate ya dola badala ya blah blah nyingi
Subiri hiyo hazina iishe ndo utaelewa ungejua kuwa hadhina inaweza kupukutishwa in 3 hours attack sijui ungeongea huu ujinga
 
Mkuu I’m not a Bavicha and never been one, but I have a huge respect if someone throwing the facts and technicals analysis, sipendi ngonjera na politics out of a box ie driven by mhemko.. which will remain as taarab to me and many many more

Swali!
Is the BoT controlling USD ?
BoT is controlling Tshs against USD.
 
Kwa ujinga wenu mtasubiri and then 2020 mtapigwa chini kwenye uchaguzi mkuu.
 
Who is GJ Malisa and what are his credentials??? Mbona kama anarukia fani za watu?
4c6c495595bd07f8b094fb94d12a9164.jpg

[emoji115]Uchumi Unakua Mazee.
 
Mkuu I’m not a Bavicha and never been one, but I have a huge respect if someone throwing the facts and technicals analysis, sipendi ngonjera na politics out of a box ie driven by mhemko.. which will remain as taarab to me and many many more

Swali!
Is the BoT controlling USD ?
You can be too talkative that does not mean you know everything.
 
Wapo ila wao wamejikita kumlaumu mtoa hoja huku wakiacha hoja yenyewe.

[HASHTAG]#Mosi[/HASHTAG]; ni mfumuko wa bei (Inflation rate). Kwa kaawaida mfumuko wa bei unapokuwa mkubwa, sarafu inapoteza ile nguvu yake ya manunuzi (purchasing power) na matokeo yake inaporomoka dhidi ya sarafu za nje. Hapa nchini mfumuko wa bei umeanza kutishia wanunuzi wa bidhaa mbalimbali. Kwa mfano wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,500/= hadi 1,800/= kiwa kilo, lakini leo bei ni kati ya shilingi 2,500/= hadi 3,000/= kwa kilo.

Mfumuko wa bei umekuwa kwa zaidi ya asilimia mia moja kwenye bidhaa ya sukari. Maana yake ni kwamba we are no longer at Moderate inflation, rather tunakaribia kwenye Hyper Inflation from Galloping one. Hali hii inasababisha sarafu yetu kuoporomoka kwa kiasi kikubwa
Bei za Sukari Kenya, Tanzania, Uganda zote karibu ni sawa. Sasa hivi Uganda Sukari inaenda mpaka 500o UGX, Kenya sukari ni 130 KES average. Na zimeongezeka kwa trend ileile. Sasa swali ni kwako, kwanini sarafu za nchi za Kenya na Uganda zisifuate trend hiyohiyo? Hapo, ndipo mnapofungwa kamba, bei ya sukari haija - affect currency yetu, sanasana serikali imepunguza uagizaji wa sukari kiholela na which is to some extent, a control mechanism ya thamani ya sarafu yetu.
 
BoT is controlling Tshs against USD.

Slowly you are getting it and I agree with you, BOT can put the price whichever they want BUT you can’t ignore the math, the variables are foreign and complex, you are dealing with 2 currency and the facts of economy to drive price up and down, simply don’t add up!.

Now coming back to the point, although you skip the analysis and live scenario I have shown you in previous post, but I will go along, now who would want USD in this case to execute the trade? Put it simply in reference to the majority of pool of customers, are they domestic or foreign? I have already given you a scenario domestic example of mkulima na pembejeo, you ignored it, otherwise you would have put on your argument,

Don’t ignore the fact this is FOREIGN money! A foreign variable, BoT don’t have control or any input to it..

I can accept your analysis if you are living in a bubble, but your life and our life are depending on Foreign money, we are simply screwed! You can’t say the same for ironically US!
 
You can be too talkative that does not mean you know everything.

I agree with you for once, will take it as a compliment, but you can’t play dumb either ignoring the fundamentals, the facts and the variables! These things don’t move by emotions but formula, adding, subtracting and you name it. Au hizi variables ni Bavicha?!

Which one would you rather be?!
 
Slowly you are getting it and I agree with you, BOT can put the price whichever they want BUT you can’t ignore the math, the variables are foreign and complex, you are dealing with 2 currency and the facts of economy to drive price up and down, simply don’t add up!.

Now coming back to the point, although you skip the analysis and live scenario I have shown you in previous post, but I will go along, now who would want USD in this case to execute the trade? Put it simply in reference to the majority of pool of customers, are they domestic or foreign? I have already given you a scenario domestic example of mkulima na pembejeo, you ignored it, otherwise you would have put on your argument,

Don’t ignore the fact this is FOREIGN money! A foreign variable, BoT don’t have control or any input to it..

I can accept your analysis if you are living in a bubble, but your life and our life are depending on Foreign money, we are simply screwed! You can’t say the same for ironically US!
Nimesoma na nimekueelewa sasa tuangalie reality za taarifa ya Bloomberg kuwa value of dollar to Tshs ni sh.2549 kwa dola moja je hiyo taarifa ni za kweli ama si kweli. Ripoti kamili za hawa jamaa kuona utawala huu ni mwiba kwao you soma kitabu Confessions of an Economic Hit Man.
 
Back
Top Bottom