Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Excuse me Mimi sio malaya
you are a slut, kitendo cha kukubali kuliwa kizembe bila kujitambua thaman yako huna tofaut namalaya, halaf ulivyo bwege umezama deeply in love na boss wako like real bitch! sikia kama kilivyo cheo cha huyo boss wako kimekaliwa na watu wengi kabla yake na yeye atakiacha, hivyohivyo kwako amekulala alishalala na wengi kabla yako it seems huyo boss ni mtombaji ni kawaida ila kama hutajielwa kama ulivyo wewe lazima uliwe uachwe hivi, unaijua historia yake, what if ni muathirika whatever ukiwmi, homa ya in etc?? umerisk sana maisha yako just for one night stand, amka tunapenda lakini tunajitambua kutombwa mara moja tu ushadata
 
Imekuwaje tena ilhali wewe ni “strong and fearless “? Kiuhalisia Wewe ni jnsia gani maana kama simulizi inakinzana na jinsia vile!
 
Ata yeye ananitafutaga lakini sio often kama mm
Pole mkuu, i know u can't let him go.

Wanawake mapenzi yanawaumiza sana aisee.
Mtu ana mtu na wew umejipachika afu utegemee akuchukulie ni wife material na akutreat kama mpenz anaempenda, NEVER, hiyo haiwezi kutokea.

Unakua mchepuko kwa mtu asie na mke, unadhani jamaa anakuchukuliaje??
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Hizo ndo athari za kuchanganya kazi na mapenzi. Rejea tamthiliya ya Ngoswe: penzi kitovu cha uzembe!
 
mahusiano ya kimapenzi eneo la kazi ni mtego mbaya sana kwa ustawi wa afya ya akili ya wahusika.

pole sana kwa kiherehere chako cha kujihusisha kimapenzi na staff mwenzako, utapigwa matukio mpaka akili ikukae sawa na huna lolote utaweza kumfanya, afterall he is your boss.

na akiona una dalili za kutaka kuchafua image yake kwa wivu wako wa kijinga, atakutengenezea mazingira upigwe chini.
You nailed it smartly as your ID stands to be!
 
you are a slut, kitendo cha kukubali kuliwa kizembe bila kujitambua thaman yako huna tofaut namalaya, halaf ulivyo bwege umezama deeply in love na boss wako like real bitch! sikia kama kilivyo cheo cha huyo boss wako kimekaliwa na watu wengi kabla yake na yeye atakiacha, hivyohivyo kwako amekulala alishalala na wengi kabla yako it seems huyo boss ni mtombaji ni kawaida ila kama hutajielwa kama ulivyo wewe lazima uliwe uachwe hivi, unaijua historia yake, what if ni muathirika whatever ukiwmi, homa ya in etc?? umerisk sana maisha yako just for one night stand, amka tunapenda lakini tunajitambua kutombwa mara moja tu ushadata
Exactly! this sounds like speaking from experience!!

Namwonea huruma na wakati huohuo namdharau na ndani yake nachukulia kama ni funzo kwake make seems like too young to match it!!
Wadogo waendelee na tuendelee kupewa/kuwapa ukweli
Makavu kama haya.
One day they will grow cautiously like the way we want us to be like!
 
Kulingana na jina lako you're strong but you can't move on what kind of strong are you? Boss hapo ushayakanyaga kwa akili zako za tamaa tamaa ulikubali kujishusha thaman bas kubali na dharau pia

Nikutakie utekelezaji mwema mkuu
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Kwani.ww.unaitwa.nani, strong and.nini.vile, acha kijipachika.majina kumbe utamalizia.....
 
Nchi za Afrika (Kusini mwa jangwa la Sahara) ni Maskini kwa sababu tunaendekeza utombanaji maofisini. saa za kazi tunawaza mapenzi tu. Tofauti Na wenzetu wahindi, wachina na Wamarekani hawana maskhara kabisaa maofisini saa za kazi
We mbwa UMETENGWA! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

NIMECHEKA KWA SAUTI KUBWA SANA! NAHISI MAJIRANI WAMENISIKIA, SEMA BAHATI NZURI MAJIRANI WATASHA WA KITURUKI... HAWANA BAYA

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Na unataka uhame ofisi.... yaani kirahisi rahisi tu uhame ofisi, uhamie kwingine. Kumbe ajira zinapatikana kwa urahisi kiasi hicho kwa mabinti Malaya 🤔

Huko utapohamia napo kuna mwamba atakuwa anajichapia nyapu bure kabisa! Kisa umemuelewa 😅👍🏾
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Umalaya umekuponza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom