Itachakatwa hadi kieleweke....alafu atakuja na ID mpya kutafuta mume aliye serious
Ndo uone siku hizi vijana wanaoa manungayembe 😂😂😂
Mwanamke kashakunjwa kisawasawa, kila size ya mkuyenge bin mshekel-pin kashaukung'utwa nao, na size ya kipapa imeshavuka vipimo ndo baadae anataka kumbambikia kijana wa watu.... eti "Ooh! Sasa hivi nataka Mume serious tujenge maisha na familia" kipindi vinumula vipo sahihi kwa matumizi ya ndoa hawakutaka kuolewa, wao walikuwa wanavitoa kwa wahuni tu wanavichakata mpaka vimechakaa na vimeshavuka mipaka. Mfano huyo mjinga maisha hapo, yeye anatandikwa tu maofisini humo anaamini sijui ndo ataolewa au ndo jamaa atakolea kwenye kipapa kimoja ambacho hata muda wake wa matumizi ni wa kulazimisha tu ila iko wazi kwamba kishachoka😂
Sasa hivi anataka ahame ofisi, aende kwingine akakitembeze tena kwa vijana wengine huko 😂😂😂
Huko napo yakimkuta ahame kwingine... na malaya upepo wa kazi wanao bana 😂🙌🏾
Vijana wetu wako serious na maisha kutwa wanaomba fursa humu vigogo wanawapotezea... wanakazana na hao Malaya wasio rasmi, wanajiuza maofisini kisirisiri kwa kigezo cha kwamba "Ka-fall in love" kumbe ni indirect way ya kujitangaza biashara yake isiyo na malipo.
Ni mwiko kwa tamaduni zetu mwanamke kuzungumza mambo ya namna hiyo publicly, hata kujitongozesha kwa mwanaume ni mwiko!... kama una dukuduku lako kufa nalo. Bora akuanze kijana. Sio wewe binti kujitongozesha. Itakugharimu tu! (Vijana huwa wana-take advantage) hasa wa kiume
hizi tamaduni mpya zimeharibu sana vijana wetu
Kidini/kiimani tena zote! wanasema mara kumi kama mwanamke amempenda mwanaume amwambie kampenda, anaomba amuoe. (AKIKUKATAA BASI!... ILA KIJANA MWENYEWE ATAHAMAKI NA ATAONA KWELI HUYU BINTI YUKO SERIOUS NA HUENDA NDO MUNGU KANILETEA, KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA KUINGIA LINE).... Otherwise ukileta uzungu ndo yaleyale kijana ata-take advantage. Mwisho unaleta Uzi JF. Tena kijana akizingatia mtoto sura ipo, karangi, usafi, kichwani smart, kaelimu kapo, na vibomu vya hovyo kuendekeza shida na njaa hakuna na Tako la haja!... lazima aingie line
Na vijana wetu kwa kupenda matako😂😂😂🙌🏾