Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Nipe mimi ili tumkomoe huyo bosi
 
Wewe kahaba acha ujinga na kama unafikiri kufanya promo hapa yaani acha ujinga kabisa wapelekee ma ccm wenzako akili mbovu
 
Muandiko wa mwanaume.

Anyway, turudi kwenye uzi.

Hutaki azungumze na wafanyakazi wengine? Maelekezo utawapa wewe?
Hebu tulizana.
Umekuwa mtaalamu wa kugundua miandiko ya watu lini?
Jf bana unakuta muuza siso naye anajipa utaalamu ambao hata haujui
Na shule aliishia lapil d 🤣🤣🤣
 
Uwe unajituliza.

Bora ya mimi nimeishia darasa la pili kuliko wewe uliyesoma na uwezo hata wa kuandika kwa ufasaha unashindwa.

Alafu kufahamu muandiko wa kike huna hata haja ya kuwa Mtaalam. Kama unashindwa kutambua tu, basi wewe ni zwazwa.
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Bila shaka huyo boss wako ni miongoni mwa vijana wa rikiboy wazee wa kula kimasihara
 
Yani nimekoma sirudii tena
kuna mwaka fulani ilibaki kidogo ninase kwenye mtego wa mahusiano ya kimapenzi na staff mwenzangu.

nilimla kisela mara mbili halafu baada ya hapo nikamuanzishia mapichapicha akereke na mimi ili kuondoa mazoea. nilifanifanikiwa.
 
Nadhani comment yangu umeisoma vibaya uliwekwa picha nikashangaa mbona wanatuma picha ya mtu anaonekana ni Mama mchungaji na si wewe ila baada ya wewe ku like nimepigwa ban kwenye ule uzi ila sio mbaya.
Ooh usijali dear. Mimi nimeisoma vizuri tu.
 
Duuh na ukakubali kuwa nae hivi wanawaonaje mpk wanawaambia hivyo et yupo kwenye mahusiano

Kiufupi amekudharau Halafu boss huwa ni cha wote pale ofisini

Hahanidharau kaniambia ukweli
Angekua ni mhuni angesema hayupo kwenye relationship
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom