Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Binti ACHA umalaya maofisini utapoteza kazi,wanaume wazuri wapo Kila Siku ,utachezewa wewee na wanaume maofisini endelea kujitongozesha...tunza utu wako dogo
 
Kama yuko na mtu achana nae. Mbona mnajitesa namna hiyo.

Na huenda hana mtu wala nini ila kakwambia ivo coz anajua unampenda na huwezi chomoa kwake.
Hiyo kua na mtu kaiweka kama ngao ya kukuacha muda wowote akitaka/akikuchoka au akiona unaleta mazingzong hapo kazini.

Hayo ni mapenzi ya kipuuzi, how comes unakua na mahusiano serious na mtu ambae yeye ana mahusiano serious na mtu mwingine!!

Usipoteze muda.

Sawa nimekuelewa
 
kisa langu ni kuwa vulnerable
Piga kazi, mpotezee.
Na ukimpotezea, akiwa na upwiru lazima aje tena kwako, utamkubali halafu akiridhika mnarudi mwanzo. Utampotezea tena, utamsamehe, atarudia hivo hivo. Ndo maisha yenu girls kama wewe mnakuaga labda jamaa aamue sasa anakupotezea.

Hamshaurikagi nyie.
 
Wake za wadogo zetu Hawa...kwanini wasituletee watoto wasiofanana na baba zao Kwa staili hiii
Inasikitisha sana mkuu. Sex imekua kama handshake tu.
Nyuchi za wadada zipo available njenje mpaka zinakinaisha, wakati enzibzetu ilikua ukiona shuka la guest limeanikwa tunadindisha siku tatu.
 
Piga kazi, mpotezee.
Na ukimpotezea, akiwa na upwiru lazima aje tena kwako, utamkubali halafu akiridhika mnarudi mwanzo. Utampotezea tena, utamsamehe, atarudia hivo hivo. Ndo maisha yenu girls kama wewe mnakuaga labda jamaa aamue sasa anakupotezea.

Hamshaurikagi nyie.

Ndo maana nimeona bora niache hapo nitafute sehemu nyingine then nifute no yake
 
Ukijihusisha na kazi za Madawa ya Kulevya lazima yakukute.

“ PRATA OR PROMO”
 
Tego alafu chambo ni mkunga chui jichanganye sasa ucheze disco la yesu
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Ulikiuka sharti langu sasa utaisoma namba kwa kirumi dada,
 
Pole sana, hisia ni kitu Cha ajabu sana, nakushauri tu, acha kumfatilia boss wako kaa kimya, usimuulize kitu, mpotezee, Yani atakutafuta kama kweli mlikuwa na bond! Naomba kuuliza mnamahusiano kwa muda gani sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom