Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,149
- 43,097
When You love someone silently, You find no rejectionmuombe mkutane macho kwa macho, akikuzungusha basi ujue sio rizki
When You love someone silently, You find no rejectionmuombe mkutane macho kwa macho, akikuzungusha basi ujue sio rizki
UongoooNchi za Afrika (Kusini mwa jangwa la Sahara) ni Maskini kwa sababu tunaendekeza utombanaji maofisini. saa za kazi tunawaza mapenzi tu. Tofauti Na wenzetu wahindi, wachina na Wamarekani hawana maskhara kabisaa maofisini saa za kazi
Hukujua ulichofuata huko, we kweli mi lofaYaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.
Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.
Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.
Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Baasi tulia kazini acha mahusiano na maboss zako utaumizwa bureExcuse me Mimi sio malaya
hamna, huko ni kua zoba😅 chukua hatua au unapenda usome text zake tu basiWhen You love someone silently, You find no rejection
Ukweli mtupuWhen You love someone silently, You find no rejection
Pole sana, hisia ni kitu Cha ajabu sana, nakushauri tu, acha kumfatilia boss wako kaa kimya, usimuulize kitu, mpotezee, Yani atakutafuta kama kweli mlikuwa na bond! Naomba kuuliza mnamahusiano kwa muda gani sasa?
Inasikitisha sana mkuu. Sex imekua kama handshake tu.
Nyuchi za wadada zipo available njenje mpaka zinakinaisha, wakati enzibzetu ilikua ukiona shuka la guest limeanikwa tunadindisha siku tatu.


nacheka kama mazuri kumbe ni Kweli kabisa...sasa umalaya umeesahisishwa mnoo na wasomi wengi ndo makahaba classic
hamna, huko ni kua zoba😅 chukua hatua au unapenda usome text zake tu basi
The endless process hyooNa ukipata kazi sehemu nyingine upende boss mwingine![]()
aah buana, mbona bado sana, nakushauri tu, usimfatilie, usitume msg, usimpigie, usimshobokee, usimuulize kitu. Kaa kwa kutulia kama siyo wewe, km kweli anahisia na ww hata kiduchu lazima atakutafuta. PoleNi six months now
Inaweza kuwa ni waleee.Muandiko wa mwanaume.
Anyway, turudi kwenye uzi.
Hutaki azungumze na wafanyakazi wengine? Maelekezo utawapa wewe?
Hebu tulizana.
I Didi tell her siku Ile kua Aache umalaya na mmerudia Tena!!!kumuambia aache umalayaTulimshauri akawa mbishi mara ooh I don't care ndio zilikua kauli zake huyu
pole bro, hofu ya kukataliwa itakunyima vitu vingi kwenye maisha.Natafuta hela za kutosha kwanza Mdogo wangu. Niiteke Tanzania nzima
Aisee yule Bibi hajafa Shehe wangu, na Jumamosi kuna Dada anaenda kule anayejuana nae ili akaongee na Kijana anayejuana na yule Bibi wakienda kule kwa Bibi na Mimi ndio ni organize watu waende kule. Nakadori kwa kweli ni Dada yangu tu na siwezi kuwa naye kwenye mahusiano hata kwa bahati mbaya au tamaa.Ishu ya Morogoro itengeneze ile ndo ina uhakika wa pesa ..
Au yule Bibi kafa!
Boss wako Nakadori Nani kamfungia ndani haonekani kabisa.
pole bro, hofu ya kukataliwa itakunyima vitu vingi kwenye maisha.