Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Aisee yule Bibi hajafa Shehe wangu, na Jumamosi kuna Dada anaenda kule anayejuana nae ili akaongee na Kijana anayejuana na yule Bibi wakienda kule kwa Bibi na Mimi ndio ni organize watu waende kule. Nakadori kwa kweli ni Dada yangu tu na siwezi kuwa naye kwenye mahusiano hata kwa bahati mbaya au tamaa.
Usisite nijulisha hiyo ni uhakika.
 
aah buana, mbona bado sana, nakushauri tu, usimfatilie, usitume msg, usimpigie, usimshobokee, usimuulize kitu. Kaa kwa kutulia kama siyo wewe, km kweli anahisia na ww hata kiduchu lazima atakutafuta. Pole

Asante ntafanya ivo
 
Sasa kama uliona kunguni wamevaa buti za mvua kwanini wewe ulimshika mtoto wa jogoo ukampeleka shuleni? Unafikiri ndege walishindwa kuvaa mewani na suti nyeusi wakafungua ofisi ya kuuza mswaki? Ndo maana samaki wameamua kutafuta passport ili wasikamatwe kwenye mipaka
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Ulitumwa umpe uterezi sasa unatumia Wana jamii tukushauri nini endelea kukaza boot Aya ndio matokeo ya uterezi single boy upwiru unakaba maokoto yanapotea tu
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
harlot at work.
 
Tayari umeshaliwa kimasihara tusubiri bosi alete stori kule kwenye uzi pendwa. Umeshafanya kosa achana nae tu endelea na maisha yako kama mfanyakazi.
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Ni ofisi gani hiyo inayoongozwa na popoma lisilozingatia maswala ya safeguarding? Ki maadili ni kosa kubwa sana kwa boss kugegeda subordinate wake. Kazi hazitaenda, wote nyie mnastahili kufukuzwa kazi!
 
Nani alikuambia tunatembeaga na maBoss? Msingi wa mahusiano yenu huwa ninini na mnapanga mahusiano yaende wapi?

Mahusiano ambayo binafsi siwezi yaanzisha hata iweje: Boss, mteja, jirani, shemeji, co-worker na watu wote wa karibu yangu. Enzi niko shule hata classmates nilikuwa siwezi.

Watu wako wengi sana wakuanzisha mahusiano nao ila sio hao hapo juu.
 
aah buana, mbona bado sana, nakushauri tu, usimfatilie, usitume msg, usimpigie, usimshobokee, usimuulize kitu. Kaa kwa kutulia kama siyo wewe, km kweli anahisia na ww hata kiduchu lazima atakutafuta. Pole
Usimdanganye mwenzio. Akimchuni iwe jamaa anampenda au hampendi ni lazima amtafute tuu maana huyu ndo anatoa utelezi hivyo hawezi acha kumcheki.
Hilo la kumchunia ni sawa ila asimchunie kwa kigezo kua kama anampenda basi atamtafuta, keep it in mind kua piga ua jamaa lazima atamtafuta tuu.
 
Mnaanzaje kulala na maboss zenu ofisini ...?!!
ameliwa kizembe sana,kwanza naanzaje kumix mapenzi nakazi? ofisini mkurugenzi ananitaka, mhasbu ananitaka, ukimuomba driver akudrop sehem anatongoza, yan kila idara hapakosekani wa kuniimbisha sasa kama nina akili kama za huyu s nakua jamvi la wageni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom