Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.

Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha Polisi jamani, hapa nashaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Strong and Fearless jina lako likusadifu. Be strong and fearless. By the way umejitakia. Mapenzi na boss kazini ni janga na utajutia sana maishani hutakuwa na amani
 
Why profile yako ni ya mwanamke alie naked?
 
Mimi ni mwanamke
Sasa anazungumza nao in a way unaona kabisa hapa something is not right Alaf Mimi naishia kuumia tu na kulilia chooni.
We nawe bhana unaruhusu veep akili za chini zitawale akili ya kichwani.

Wanawake bhana ndo maana mnasaini mikataba ya hovyo hovyo.
 
Nilimwambia boss akasema Basi atapunguza kuja kazini nikakwambia awe anakuja tu coz I feel happy seeing him everyday ila tu Aache kuongea na hao staff wanawake wengine
Sawa dada ila mimi nilimaanisha mpenzi wako kabisaa achana na huyo boss ulokutana Naye kazini .....naamini yupo mlopeana support mpaka unafika hatua ya kupata kazi....otherwise ulikuwa single jambo
 
Hahanidharau kaniambia ukweli
Angekua ni mhuni angesema hayupo kwenye relationship

Kumbe hawajui wanaume eeeh anakwambia hivyo means anampenda alienae so anakupa alarm akiwa nae usipige pige simu au ikitokea amefumaniwa ujue namna ya kukubaliana na hali

Hiyo ni janja wanayotumia waume za watu kwa michepuko ili isilete usumbufu kimsingi kakudharau ni kama kakwambia nina mwanamke wangu nampenda wewe nataka nikukule tu yaani unipunguzie nyege wakati kipenzi chake akiwa mbali kwambia ana mtu wake ili uwe mchepuko wa kidumu

Kama unafikiri atamuacha mtu wake kwaajili yake weka asilimia 10… navojua mwanaume akikupenda awezi kusema et ana mtu mara nyingi huwa hawasemii na hatotaka ujue coz anaogopa kukupotezaa so kuwa makini

Achana naeee labda kama unataka kuumia tu…. I was in your situation but nilimove on so kadri unavyoendelea nae unajitengenezea hayo maumivu yawe makali zaidi
 
Mimi nilimuelewa na ndo maana nilimwambia I don’t care if you have someone or not as long as am enjoying being with you na I told him atleast I told you the truth kuliko ningekua nalo so take me the way you want to akasema it’s a good thing kuongea ukweli and I like you for that.

Ukiachana na mm kumpenda siwezi kumuepuka coz ananisaidia mambo mengi, he is a guy ambaye Ana msaada sana kwangu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom