Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Wewe huyo boss wako anamke? Kama ana mke basi na wewe umetenda kosa la kuwa na mahusiano na mume wa mtu. Hivyo kama alivyokutaka wewe NDIVYO atakavyo wataka na hao. Usiumie Kwa Hilo ila umia Kwa dhambi uliyotenda. Yakupasa utubu. BARAKA ZAKE MUNGU MWENYEZI ZA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU ZIKUSHUKIE NA KUKAA NAWE DAIMA.

Hana mke
Aliniambia tu yupo kwenye relationship
 
Endelea na kazi tafuta mahusiano mengine jiegeshe kimtindo mahali upate kampani kwa muda flani usioneshe kama unamfia Sana boss fanya kazi kwa nafasi yako, kula vzr, lala kwa wakati & piga ibada

Maisha ni zaidi ya hayo mahusiano

Thanks dear
 
Unadhani wewe ndo wa kwanza kutembea na huyo Boss pale kazini kwenu? Wapo wengi tu walishapita nae wakaachane maisha yakaendelea.

Fanya kazi kwa bidii ujiinue kiuchumi acha kuendekeza mambo ya kijinga.

Sawaa
How will I handle kuwa nae kwenye same environment jamani
 
Tatizo lako unajichukulia ww kuwa ndo wa kwanza kumegwa na huyo boss kumbe umeunga tela!!

Majuto ni mjukuu! Ulikosea sana kumvulia qp boss wako na kujimilikisha kumbe mwenzio ni mzee wa kuchakata kimasihara!!
 
Tulikushauri hukutaka kutusikia, mwanaume hatongozwi.

Screenshot_20230831-162313.jpg

Sio binadamu tu hata wanyama hiyo ni nature. Huyo jamaa atakutesa na hapo utaondoka tu mwenyewe. Na ikitokea option mfanyakazi mmoja anatakiwa kupunguzwa bosi wako atakuchagua wewe, maana unambania kinoma haenjoy na ubosi wake.

Soon utazaa nae na hiyo ndo itakua mnaachana rasmi.
Yuko na wewe sababu unapatokana kirahisi, mda wote anakuona akiwa na genye mshindo anakukula.
Mark my words.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom