Tina
JF-Expert Member
- Jul 9, 2007
- 572
- 579
Pongezi za dhati ziwafikie wana JF wote waliochukizwa na mwenendo wa unyanyasaji wa sisi staffs wa uba pamoja na JF yote kwa ujumla.
Nilipost hapa jinsi ma boss hao walivyojihisi wako juu ya sheria na kunyanyasa watanzania kadri watakavyo. Jana jioni kakamatwa na police na kesi iko kituo cha kilwa rd. Yuko nje kwa dhamana aliyowekewa na jamaa zao.
Tunategemea haki itatendeka. Leo ana report tena kituoni mida ya saa 5 asubuhi hii naelekea huko kumsubiri na nita wapa kinachojiri.
Kati ya vitu alivyokutwa navyo O'bay kwenye appartment yake ni dawa za kulevya swali hatujui kama ni za kuuza au ni pamoja na kutumia. Tusubiri report ya police leo jioni.