Boss wa UBA Bank akamatwa na police

ever heard of something called MIS TRIAL?
kama jamaa ana lawyers wazuri bas mshajiharibia hapo
anaweza ku claim hatotendewa haki huko mbeleni kwani kuita media na wengine tayari mshatia doa hii kesi (kama ipo)
That is not true. At best it is misinformation.

Hongera kwa wana JF, walalamikaji na Jeshi la Police kwa kutekeleza wajibu wenu. Mungu Ibariki Tanzania.

Inakuwaje mtuhumiwa wa madawa ya kulevya anapewa dhamana jamani tupashane wale mnaojua sheria za nji hii

• Thanks
Reactions: FJM
Kwnn apelekwe Kilwa road police post wakati anakaa Oysterbay?

Alafu unaongelea unyanyasaji bila kueleza kwa undani ni wa namna gani.

Watanzania ni wavivu na akitokea mtu akawabana kidogo basi tunapiga kelele za kunyanyaswa.

Huenda anawataka ki ngono..who knows??

Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya anapewa dhamana?

mkuu inategemea labda kuna technicalities zimetokea kuna kesi ilitokea mwezi wa nane angalia hapo chini kwenye gazeti la the Citizen

The Citizen (Dar es Salaam)
Govt Wants Drug Suspects Returned to Remand Prison

Bernard James
20 August 2011

Dar es Salaam — The state has asked the Court of Appeal to order that four men on trial for trafficking Sh6.2 billion worth heroin be returned to remand prison saying their bail was unlawful.

State attorneys have filed an appeal against a decision by Lady Justice Upendo Msuya that Tanzanians Fred William Chande and Kambi Zubeir Seif and Pakistanis Abdul Ghan Peer Bux as well as Shahbaz Malik can defend their case while out on bail.

The lawyers argue that the offence the accused were charged with was unbailable under the Drugs and Prevention of Illicit Traffic in Drugs Act. The four were arrested in February at Dar es Salaam's Mbezi Jogoo suburb in possession of 179,000 grammes of heroin, the second largest drug seizure in recent years, and charged at the Kisutu Resident Magistrate's Court with drug trafficking.

The accused then rushed to the High Court for bail consideration because the lower court did not have jurisdiction to handle the case. Justice Msuya then granted them bail as she sided with the defence lawyer, Mr Yasin Memba, that the charge sheet was defective because it was missing most details of the appellants, including name, age, tribe and nationality.

She was of the firm view that such defections "can cause some difficulties in consideration of the conditions for bail." The judge also agreed with the defence that the value of the drugs stated in the charge sheet was not backed by a certificate from the National Control Drugs Commission as provided under section 27 (b) of The Drugs and Prevention of Illicit Traffic in Drugs Act.

According to the judge, the absence of the certificate rendered the charge sheet incomplete for it was necessary for establishing the value of the drugs. Said she: "I agree with Mr Memba that the basis of the value of the drugs required evidence to satisfy the court in consideration of bail, and not mere mention of their value in the charge sheet."

• Thanks
Reactions: FJM
Ahsante kwa taarifa Tina!

Kama amekutwa na madawa ya kulevya, pakutokea ni pafinyu! Well, as long as kauli mbiyu ya Mh. JK dhidi ya madawa itatekelezwa.

HAKUNA CHA KAULI MBIYU WALA MBIU! ' HII NJI YA KITU KIDOGO AKIPISHANA NAO KWENYE MSHIKO NDO WATAMBANA OTHERWISE MMMMMMMMMMMHHHHHHH !!! LABDA INGEKUWA NI SERIKALI NYINGINE SI HII,JELA WAMEJAA MATEJA,WEZ WA KUKU,NA WALIOBAMBIKIZWA KESI ASILIMIA CHACHE WAPOKULE KIHALALI,HIVI WALE WA MAGUFULI BADO?

Tazania ndio nchi peke yake Diniani kwa kuwapa wageni wahalifu dhamana kuliko wenye nchi yao, Masharti ya Mgeni kupata Bail ni rahisi kuliko Mzawa, Aibu hii nchi

KASORO WALE WA SAMAKI WA J POMBE MAKUFULI AU CHOKA MABYAAANINI,AMA MAKUFULI ALIKUWA ANAJITENGENEZEA JINA? THIS COUNTRY BWANA

Why General Mbona kwenye hili ? Na ni kweli kwamba ni madawa ya kulevya hayo na baadaye dhamani anapewa haraka namna hii ?

KWANI WEYE HUJUAGI VIMEMO!? JAMAA ANATOA KIMEMO TU MTU ANAKUWA HURU,HIVI WADHANI KUWA HAYO MADAWA NANI ANAYALETA! HAOHAO WATOA VIMEMO NADHANI WANATOAGA VIMEMO,HUO NI MZIGO WANGU USIGUSWE!!!! UKIBISHA UNAISHIA KUTUPWA HUKO AMA KUUWAWA KABISA,MWENYENGUV MPISHE

hivi tanzania tumelongwa au? kweli hivi maana ya sheria nini? sijawahi kuona nchi yeye watu wajinga kiasi kama hiki hasa waliopewa dhamana ya kulinda haki za wananchi atapewaje dhamana ikiwa amekamatwa na madawa ya kulevya?
huyo aliyetoa dhamana bila kufikishwa hata mahakamani ni nani? upuuzi na ushezi

Nakwambia ni ushenzi tu, hivi mnaamini kwamba hii benk ya wanigeria eti member wake wa board ni mwenyekiti wa TPSF, ni kweli kuwaramba miguu wawekezaji hii yote ni sababu ya kuwa na watu wasiostahili kuwa kwenye nafasi hizo kwa kuwapendelea, huyu mama mtoto wake akapewa kazi na cheo kikubwa hapo UBA, mkwe wake ndio mwandishi wa Rais aliyechukua nafasi ya January pale ikulu na binti yake ni mbunge wa viti maalum kwa nafasi ya wafanyakazi CCM oyeeeeeeee, lakini wajue kwamba tunafuatilia kwa makini haya mambo nchi hii ina wenyewe, na wenyewe ni watanzania wote tumekataa madaraja na tutayavunja kabla JK coordinator wao hajatoka madarakani, mungu ibariki tanzania na watu wake futilia mbali hawa ma agents wa shetani vibaraka wakubwa siku zao zinahesabika, tumekataa ya Libya tutawasogeza kabla hawajatufikisha huko

kasomee hata certificate ya sheria itakusaidia

Ndugu Ndoano, inaelekea wewe una ufahamu wa sheria zetu sasa ningeomba utuelimishe.

Hili tatizo la kutoa dhamana kwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya limeleta zogo hivi majuzi tu bungeni wakati wa semina iliyotolewa kwa wabunge kuhusu kushamiri kwa hii biashara na walielezwa kesi moja ambayo mtuhumiwa alipewa dhamana kinyume cha sheria. Wabunge wengi walikuja juu wakitaka hata judge aliyeridhia mambo ya dhamana achukuliwe hatua. Mwanasheria mkuu Judge Werema aliwaeleza vizuri wabunge hatua wanazochukuwa.

Sasa kwa huyu mtuhumiwa mpya (boss wa UBA) amepewa dhamana kwa misingi ipi? Kwamba kiwango alichokutwa nacho ni kidogo hivyo kinaruhusu dhamana? au hakuna sheria zetu zinaruhusu dhamana kwa mtuhumiwa wa madawa ya kulevya bila kujali kiwango/thamani ya madawa yenyewe?

Tafadhali tupe ufafanuzi.

Ndugu Ndoano, inaelekea wewe una ufahamu wa sheria zetu sasa ningeomba utuelimishe.

Hili tatizo la kutoa dhamana kwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya limeleta zogo hivi majuzi tu bungeni wakati wa semina iliyotolewa kwa wabunge kuhusu kushamiri kwa hii biashara na walielezwa kesi moja ambayo mtuhumiwa alipewa dhamana kinyume cha sheria. Wabunge wengi walikuja juu wakitaka hata judge aliyeridhia mambo ya dhamana achukuliwe hatua. Mwanasheria mkuu Judge Werema aliwaeleza vizuri wabunge hatua wanazochukuwa.

Sasa kwa huyu mtuhumiwa mpya (boss wa UBA) amepewa dhamana kwa misingi ipi? Kwamba kiwango alichokutwa nacho ni kidogo hivyo kinaruhusu dhamana? au hakuna sheria zetu zinaruhusu dhamana kwa mtuhumiwa wa madawa ya kulevya bila kujali kiwango/thamani ya madawa yenyewe?

Tafadhali tupe ufafanuzi.

Mkuu pole kwa dhihaka ya huyo ''mwanasheria'' anayejiita ndoano.

Usijekushangaa kukuta kwamba naye ni ''maimuna'' kwenye mambo ya sheria lakini kwakuwa ana uwezo wa ku access JF basi ameshajua kila kitu.

Hogera dada Tina, Mungu akubariki sana. Hii kitu hata mimi na familia yangu ilinihangaisha sana. Thank God sasa sheria itachukua mkundo wake

Kwa wale mnaouliza kuhusu mboma...huyo ndio Board Chairman wa UBA Tanzania...ila kuna kamanda mmoja pale UBA alikua jeshini ndio anakingia kifua sana anaitwa Mpanda ni mstahafu wa jeshi

Back
Top Bottom