Boss wa UBA Bank akamatwa na police

Tina

JF-Expert Member
Jul 9, 2007
572
579
Pongezi za dhati ziwafikie wana JF wote waliochukizwa na mwenendo wa unyanyasaji wa sisi staffs wa uba pamoja na JF yote kwa ujumla.

Nilipost hapa jinsi ma boss hao walivyojihisi wako juu ya sheria na kunyanyasa watanzania kadri watakavyo. Jana jioni kakamatwa na police na kesi iko kituo cha kilwa rd. Yuko nje kwa dhamana aliyowekewa na jamaa zao.

Tunategemea haki itatendeka. Leo ana report tena kituoni mida ya saa 5 asubuhi hii naelekea huko kumsubiri na nita wapa kinachojiri.

Kati ya vitu alivyokutwa navyo O'bay kwenye appartment yake ni dawa za kulevya swali hatujui kama ni za kuuza au ni pamoja na kutumia. Tusubiri report ya police leo jioni.
 
Ahsante kwa taarifa Tina!

Kama amekutwa na madawa ya kulevya, pakutokea ni pafinyu! Well, as long as kauli mbiyu ya Mh. JK dhidi ya madawa itatekelezwa.
 
Asante sana ndugu kwa kubainisha yale mashitaka mapema, kwel Jf ni nyumba ya wasomi, imekua ikifumbua macho katika mengi.
 
Kwnn apelekwe Kilwa road police post wakati anakaa Oysterbay?
Alafu unaongelea unyanyasaji bila kueleza kwa undani ni wa namna gani.
Watanzania ni wavivu na akitokea mtu akawabana kidogo basi tunapiga kelele za kunyanyaswa.
 
sister tunashukuru sana,nilikuwa nawaza sana kuhusu hilo swala,nchi yetu imekuwa kama haina wenyewe
 
Huyu ni yule Mnigeria?

Huyu ni yule COO (Imo Etuk) sio MD mwenyewe.jana walikuwa wanahaha usiku kucha kumtafuta General Mboma awasaidie tunchoshuruku jeshi letu la police ni kuwa waliita Media ikafanya coverage ya kila step ambayo tunategemea habari zitatoka leo. Ila hii ni hatua kubwa sana kwa JF na UBA staff kwa ujumla.
 
Kwnn apelekwe Kilwa road police post wakati anakaa Oysterbay?
Alafu unaongelea unyanyasaji bila kueleza kwa undani ni wa namna gani.
Watanzania ni wavivu na akitokea mtu akawabana kidogo basi tunapiga kelele za kunyanyaswa.

Acha kukurupuka, kama post za awali hukuzisoma subiri kabla ya kuchangia hoja!
 
Kwnn apelekwe Kilwa road police post wakati anakaa Oysterbay?
Alafu unaongelea unyanyasaji bila kueleza kwa undani ni wa namna gani.
Watanzania ni wavivu na akitokea mtu akawabana kidogo basi tunapiga kelele za kunyanyaswa.

Usikurupuke kukashifu, kuna thread iliyofichua huu uozo hapa JF.
 
Mhh hili la madawa ya kulevya mbona kama limechukuliwa kama dogo sana,kwanini wampe dhamana mtuhumiwa aliyekamatwa na madawa ya kulevya kirahisi rahisi hivyo?
 
im trying to work on positivism part of my brain as far as this gvt is concerned! anakamatwa na polisi na kuwekewa dhamana hapo hapo? ngoja tuone igizo jipya.at least amekuwa shaken up a bit.hongera tina
 
Kilwa road ndiko wanashugulika na madawa ya kulevya, kama ambavyo angekuwa jambazi angepelekwa stakishari ukonga.

Cha kushangaza ni hiyo dhamana kapataje kirahisi hivyo? But mkulu JK ni msikivu akisikia ataifanyia kazi hiyo news
Kwnn apelekwe Kilwa road police post wakati anakaa Oysterbay?
Alafu unaongelea unyanyasaji bila kueleza kwa undani ni wa namna gani.
Watanzania ni wavivu na akitokea mtu akawabana kidogo basi tunapiga kelele za kunyanyaswa.
 
MD ndio yule Mnigeria aliyekutwa na kashfa na kuwa convicted kwa ufisadi wa kibenki kule Nigeria au mwingine?
 
<br />
<br />

Huyu ni yule COO (Imo Etuk) sio MD mwenyewe.jana walikuwa wanahaha usiku kucha kumtafuta General Mboma awasaidie tunchoshuruku jeshi letu la police ni kuwa waliita Media ikafanya coverage ya kila step ambayo tunategemea habari zitatoka leo. Ila hii ni hatua kubwa sana kwa JF na UBA staff kwa ujumla.

ever heard of something called MIS TRIAL?
kama jamaa ana lawyers wazuri bas mshajiharibia hapo
anaweza ku claim hatotendewa haki huko mbeleni kwani kuita media na wengine tayari mshatia doa hii kesi (kama ipo)
 
Dada Tina poleni sana, ndo uzuri wa kutafuta wawekezaji kwa "kuwabembeleza" badala ya kusign mikataba. Kama kituo cha polisi ni Kilwa rd. basi nina wasiwasi dhamana ilipatikana kabla hata ya mtuhumiwa kufika kituoni. Bado tunatafakari yale ya yule mhindi wa wanyamapori aliyepewa dhamana kule moshi ile akale idd Pakistan. Tuvumiliane lakini!!
 
Baadaye tutasikia katoroka kama akasha na na yule jamaa wa wanyamapori ndipo utakuwa mwisho wa kesi nasi tutanyamaza tukisubiri sinema nyingine
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom