Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

aisee wanaume tupo wachache sana hapa mjini....nachokushauri uyo mama wewe piga pumbu tu kistaili na pumbu la maana akolee akuachie hesabu zote upige vzuri na kumfisadi.....ila suala la kuhamia kwake ni big nooo!!!\

unaonekana huna msimamo wa maisha na ni type ya wale wanaume sarawili hasara tupu mnaopenda slope aka kitongaa...

hata uyo mwanamke wa kijijini umeletewa baada ya kupitiliza sana kuoa na humpendi kwasababu hana kisu...what a mess!!!
yani mwanaume kama wewe una mwisho m'baya sana hapa duniani..you are totally a failure na utakufa huna hata kijiko..

na unakaa kabisa like unaomba ushauri what to do!! jesus mwenzio am 31 na nyumba mbili mjini kwa kuvuja jasho hadi la mkunduni...na mke ananipa shikamoo kila asubuh,,,, ivi mmekuaje nyie??

hamia uone majuto yake....eti asubiri kodi iishe arudi kijijini..jingaaaa!! hata kiwanja huna mjini...unalo babu!!! hata mtoto huna!!! miaka 40 iyo apo....ukimwi ndio zawadi yako ukahangaike nayo!! maana akili huna
....mwanaume gani umejaa mipasho hivi?!,toa ushauri full stop,ahangaike na ukimwi ndio nn?! idiot!
 
dah...wanaume tumebaki wachache sana mjini....

yaani kwa hiyo unataka kuolewa arif?

whats wrong with us men nowadays?

Unatakiwa ujisikie hata aibu kuyatamka haya
 
Dada yangu yaani wanaume wa Dar wanatudhalilisha wee acha tu!!
Wanamdhalilisha nani?

Acheni ujinga

Hivi we unajua hawa matajiri wote mjini humu walipataje hela?

Acha kabisa, watu wamefanya mambo mabaya sana kupata hizi hela ni siri yao tu, sasa itakua kufadhiliwa na mwanamke?
 
unaonekena huna msimamo kwenye maisha yako binafsi, nenda kwa huyo maana ameshakuona boyo la kutumika.
 
mmh huyu jamaa akili yake haipo sawa ndiyo maana mama yake alimletea mke .... ila kama anaona anahitaji kuolewa aiende akaolewe
Anaenda kuolewa kwa cash, hakuna mkopo wala mambo ya installments!
 
Na kuhusu mke aliyeletewa??
Hapo sawa, hapo kwenye kuletewa mke ndipo penye shida

Ila kufadhiliwa na mwanamke sio kitu cha ajabu, ulimwengu wa leo wanawake wengi tu mungu amewajalia wametoka kimaisha kutuzidi sisi wanaume, sasa wao wasiolewe? Au mnashauri waolewe tu na matajiri wenzao?
 
Wanamdhalilisha nani?

Acheni ujinga

Hivi we unajua hawa matajiri wote mjini humu walipataje hela?

Acha kabisa, watu wamefanya mambo mabaya sana kupata hizi hela ni siri yao tu, sasa itakua kufadhiliwa na mwanamke?
Kwa taarifa yako hakuna mwanaume yeyote ambae huwa anaona rahaa kuolewa!
 
Sikuridhia lilikua ni shinikizo, in fact alikuja na mama kama mgeni mwingine, nikajua yy na mama wana mambo yaliyowaleta hapa town, in the course of their stay, mama akaomba kwenda kumsaidia kaka yangu mkubwa kimara na atalala huko, cha ajabu hakurudi tena kwangu akapanda basi na kuondoka quietly, mm kuja kushtuka naambiwa eti ni mke ndio mama kaniachia hivyo
Na mm hapo nikawa nilishatembea nae karibu wiki nzima, nikijiambia by the time mama arudi niwe nimemfaidi, kumbe ndio mke
Mkuu ina maana kwa muda huo wote, wewe hukuwa na Mdada umayemwita Mchumba ? Maana kama ungekuwa naye, ungekuwa tayari ulishamwambia Mama yako kuwa una mchumba na asingemleta huyo.
 
Kwa taarifa yako hakuna mwanaume yeyote ambae huwa anaona rahaa kuolewa!
Ni sawa hakuna anaependa kuolewa na mwanamke, the same way hakuna mtu anaependa kufanya ujambazi, au kuuza madawa ya kulevya au kupata hela kwa njia ya kudhalilika, hakuna

Kutafuta hela hakuna kanuni, yy aende kwa mwanadada, aishi kwa akili, achote pesa afanye vitu vya maana, siku akirudi kijijini kwao hakuna ataeuliza hela ametoa wapi
 
Wewe Ni Mwanaume. Anza Maisha Yako Na Huyo Uliyeletewa. Kama Hukumtaka Ni Bora Umwambie Ajue Moja Ila Si Kuwa Na Huyo Boss. Yeye Kakushauri Kuhusu Huyo Wako, Kisha Anamrubuni Tena. Siku Akipata Gigolo Mwingine Ndio Utakumbu Ya Wahenga Ya Kuacha Mbachao
 
Mkuu ina maana kwa muda huo wote, wewe hukuwa na Mdada umayemwita Mchumba ? Maana kama ungekuwa naye, ungekuwa tayari ulishamwambia Mama yako kuwa una mchumba na asingemleta huyo.
Nilikua nae, sasa amegundua naishi na mwanamke mwingine akanikimbia kwamba nimemsaliti, haku buy idea ya mm kuletewa mke
 
Hapo sawa, hapo kwenye kuletewa mke ndipo penye shida

Ila kufadhiliwa na mwanamke sio kitu cha ajabu, ulimwengu wa leo wanawake wengi tu mungu amewajalia wametoka kimaisha kutuzidi sisi wanaume, sasa wao wasiolewe? Au mnashauri waolewe tu na matajiri wenzao?

Nakubaliana na wewe sio kitu cha ajabu, lakini sidhan kama jamaa ana mapenzi na huyo dada..inaonekana amechanganyikiwa na mali za boss wake na hilo linaonekana tu kwenye maandishi yake.
 
Sikushauri uhamie kwake. Ukitaka (japo sishauri) kula mzigo huku unaendelea na maisha yako.
 
Back
Top Bottom