Mkuu sivyo hivyo unavyofikiria, mm na dada tunapendana na sio kwamba nataka kuchukua mali zake, lengo ni kumsitiriNikitazama kwenye ramli yangu siyaoni mapenzi yako dhidi ya huyo mama zaidi ya kuvutwa na mali zake tu....ni aibu kwa kijana wa kiume mwenye nguvu zake na afya njema kumtapeli mwanamke mali zake...huo unaouleta wewe ni utapeli kama utapeli mwingine isipokuwa tu wako umepitia kwenye mapenzi.....mwanamke anawezaje kupambana na maisha na kuyamudu maisha yake hadi wewe ushindwe na utamani mali zake....huku ni kuidhalilisha jinsia ya kiume.....
aisee wanaume tupo wachache sana hapa mjini....nachokushauri uyo mama wewe piga pumbu tu kistaili na pumbu la maana akolee akuachie hesabu zote upige vzuri na kumfisadi.....ila suala la kuhamia kwake ni big nooo!!!\
unaonekana huna msimamo wa maisha na ni type ya wale wanaume sarawili hasara tupu mnaopenda slope aka kitongaa...
hata uyo mwanamke wa kijijini umeletewa baada ya kupitiliza sana kuoa na humpendi kwasababu hana kisu...what a mess!!!
yani mwanaume kama wewe una mwisho m'baya sana hapa duniani..you are totally a failure na utakufa huna hata kijiko..
na unakaa kabisa like unaomba ushauri what to do!! jesus mwenzio am 31 na nyumba mbili mjini kwa kuvuja jasho hadi la mkunduni...na mke ananipa shikamoo kila asubuh,,,, ivi mmekuaje nyie??
hamia uone majuto yake....eti asubiri kodi iishe arudi kijijini..jingaaaa!! hata kiwanja huna mjini...unalo babu!!! hata mtoto huna!!! miaka 40 iyo apo....ukimwi ndio zawadi yako ukahangaike nayo!! maana akili huna
Mwenzio kapendwa afanyaje sasa? mbona nyie mnapokeaga hamsemi, hiyo ni give and take, 50/50mario mkubwa wewe ......... tafuta vyako
Yes, bila shaka haka kajamaa ni ka-daslamUnaishi Dar!?
Teh teh..Nimekukumbuka mkuu..Kumbe we ndo uliyezidiwa kete na mama..Nwei turudi kwenye mada..Mi ninachoona mali za huyo boss wako ndo zinakutoa mate..Hii ni mbaya kwa mtt wa kiume.......Unasema anakupenda..Je we unampenda?......ukimtazama kuna kitu unakiona zaidi ya mali zake?Sikuridhia lilikua ni shinikizo, in fact alikuja na mama kama mgeni mwingine, nikajua yy na mama wana mambo yaliyowaleta hapa town, in the course of their stay, mama akaomba kwenda kumsaidia kaka yangu mkubwa kimara na atalala huko, cha ajabu hakurudi tena kwangu akapanda basi na kuondoka quietly, mm kuja kushtuka naambiwa eti ni mke ndio mama kaniachia hivyo
Na mm hapo nikawa nilishatembea nae karibu wiki nzima, nikijiambia by the time mama arudi niwe nimemfaidi, kumbe ndio mke
Watu wa mkoa na taarabu wapi na wapi? Huyo ni mdaslam au pwaniWee utakuwa mwanaume wa MKOANI kama sio wa Dar, taarab ya nini??
ni hayo tu!
HAHAHA NIMEJIKUTA NACHEKA SANA ASEEHabari wadau
Kuna boss wangu ambae amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa Muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu
Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikua ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa,
Kwa zaidi ya wiki mbili sasa ktk mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi,
Juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million
Ana watoto wawili, na ni mzuri kwa kweli, ningekua nimeshahamia kwa huyu boss wangu Lakin shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mm ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma
Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?
Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa
Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati
Help pls
Mwanamke kajirahisisha mwenyewe.....Wanaume sikuhizi wanaongeza kwakupenda mteremko kuliko wadada.
Mwanaume fanya kazi, tafuta Mali zako kwa jasho lako uheshimiwe.
Teh teh..Huyu inabidi tumpige pesa mingi..Boss wake atalipa