Boris Johnson akashifu wanawake wavaa hijab

Tatizo la wenzetu wakienda mahali wanataka utamaduni/utaratibu wao ufuatwe na wenyeji badala ya wao kuendana na mahali walipopokelewa. Kitu kama hiki kimetokea Canada ambapo walitaka nguruwe asiliwe kwenye mashule walipowapeleka watoto wao. Waziri mkuu wa Canada akasema inabidi wao wa adapt mila na tamaduni za Canada, siyo canada iache utamaduni wake. Akaenda mbali zaidi na kusema nchi za kiarabu zipo nyingi, mmeziacha mkachagua canada , you have to adapt!
 
Bwana Boris Rafiki yangu sana wakati nikiwa london nikifanya field kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza bwana John Major. Namkumbuka Boris tulivyokuwa tukipiga naye bia aina ya TOBOG pale Zone 3 London
Wewe ulikuwa mtu wa Tory? Ni baada ya John Major kuacha u waziri mkuu? John ni mtu cool sana lakini.
 
Ndio Mkuu nilikuwa attached kwenye HQ ya Torries. John Major kanilea kama Mjukuu wake kwa muda mrefu. Huyu Borris akiwa bado kijana mitaa ya London alipendwa sana na mademu na tulikunywa naye sana bia. Ni msela wangu sana hata akiwa mayor wa London. Karibu sana kwa sasa nimehamia Sheffield , Northern England.
 
okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.

tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.

hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka

in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam period.

kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...

facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...

Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
hahaha " ngoja waje" maana ," nikiwaambiaga hivi " huwa hawanielewi""
 
Kwa Sheria za wenzetu wanaojitambua, kaingilia Uhuru na Imani ya watu, wanamuwajibisha, unasemaje mkuu!!!? Kwa wenzetu kuomba samahani hadharani wanakuwa wamekurudisha hatua 100 nyuma kisiasa, unawekwa kundi la "Waropokaji"
unaonekana mropokaji" daaah kweli ' niaibu sana hiyo
 
Imani gani, ya kipagani?

Quran Takatifu haijasema popote wanawake wavae hijab, niqab wala burka

In fact, Quran Takatifu haijasema lolote kuhusu uvaaji wa muislam wa namna yeyote.

Unaweza kuvaa ki-mini na ukawa hujavunja matakwa ya Quran Takatifu.

Kwa hiyo let us not conflate imani na utamaduni

Utamaduni wa Muingereza haukubaliani na kumfunika mwanamke gubigubi. Kwa wao, burka wanaliona kwa waporaji mabenki.
Zurri " una lakusema hapa ""?
 
Utamaduni wa Mwingereza huu ambao haupo kikatiba....mwana mfalme anaabudiwa na kutukuzwa kuliko Waziri mkuu mama Theresa May....
tapatalk_1531556239044.jpeg
 
Kuna wakati Prince Phillip alikwenda China na Queen kwenye official visit. Jioni waliandaliwa diinner na balozi wa Uingereza. Wakiwemo Waingereza wanaoishi China. Prince aliwaambie “ mkikaa sana huku macho yenu yatakuwa madogo “. Kesho yake ilikuwa habari kwenye magazeti.
hahaa
 
Umezungumzia point moja muhimu sana. Unapohamia nchi ngeni basi ni juu yako wewe mhamiaji kuje-adapt na mila na desturi za nchi uliyohamia. Hawa watu wanapiga kelele tu kwa sababu wamekutana na wazungu ambao ni wastaarabu na wanapenda kila mtu awe huru. Hebu tujiulize: Mwanamke wa Western Europe anaweza kutembea mitaa ya Saudia Arabia huku amevaa kimini na wakamwacha bila bughudha kwa ajili ya kuheshimu tamaduni ya nchi nyingine? Kama siyo basi ni kwa nini upande mmoja unang'ang'aniza mavazi yao yaheshimiwe lakini hawako tayari kuheshimu mavazi ya wenzao.
mawazo" mujarab" ...kwa hii essay " nimewaelewa sasa "
 
Tatizo la wenzetu wakienda mahali wanataka utamaduni/utaratibu wao ufuatwe na wenyeji badala ya wao kuendana na mahali walipopokelewa. Kitu kama hiki kimetokea Canada ambapo walitaka nguruwe asiliwe kwenye mashule walipowapeleka watoto wao. Waziri mkuu wa Canada akasema inabidi wao wa adapt mila na tamaduni za Canada, siyo canada iache utamaduni wake. Akaenda mbali zaidi na kusema nchi za kiarabu zipo nyingi, mmeziacha mkachagua canada , you have to adapt!
aiseeee
 
Umezungumzia point moja muhimu sana. Unapohamia nchi ngeni basi ni juu yako wewe mhamiaji kuje-adapt na mila na desturi za nchi uliyohamia. Hawa watu wanapiga kelele tu kwa sababu wamekutana na wazungu ambao ni wastaarabu na wanapenda kila mtu awe huru. Hebu tujiulize: Mwanamke wa Western Europe anaweza kutembea mitaa ya Saudia Arabia huku amevaa kimini na wakamwacha bila bughudha kwa ajili ya kuheshimu tamaduni ya nchi nyingine? Kama siyo basi ni kwa nini upande mmoja unang'ang'aniza mavazi yao yaheshimiwe lakini hawako tayari kuheshimu mavazi ya wenzao.
Naunga mkono hoja
 
okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.

tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.

hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka

in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam period.

kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...

facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...

Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
Hata ukiwaambia wamaasai wakivaa mashuka wanafanana na miti ni kashfa.

sijui kwanini umekaza kichwa kwenye hili.
hakuna maelezo sijui imepanda imeshuka ikaandikwa kwa biblia sijui kwa Quran.

Tunatakiwa kuheshimu tamaduni ila tuwe tayari kuzibadili kwa uweledi pale zinapoonekana sio nzuri.
 
mwee... nchi ina hanki ya kuchagua vile wageni wanavaa. ukienda saudi arabia mbona unalazimishwa kujifunika? so kama wao waingereza hawataki they have every right to decide so. hupendi basi ondoka.

Saudi mbali sanaaaaa

Nenda Kariakoo hapa, wanaruhusu mwanamke apite na nguo inaonyesha maungo?

Kwa hiyo sisi tamaduni zetu ni super intolerant, super conservative, hatuvumilii haki za mavazi ya wengine halafu tunaenda kwa wenzetu tunataka kuwaamulia tuvae nini... rudini kwenye ma nchi yenu mkavae mnavyotaka kama mavazi ya kitamaduni au kidini ni muhimu kihivyo...

Hata ukiwaambia wamaasai wakivaa mashuka wanafanana na miti ni kashfa.

sijui kwanini umekaza kichwa kwenye hili.
hakuna maelezo sijui imepanda imeshuka ikaandikwa kwa biblia sijui kwa Quran.

Tunatakiwa kuheshimu tamaduni ila tuwe tayari kuzibadili kwa uweledi pale zinapoonekana sio nzuri.

Tunatakiwa tuheshimu tamaduni na dini za wengine, I agree wholeheartedly.

Lakini pia elewa Uingereza na Magharibi kwa ujumla wana utamaduni deep and long wa kuwa huru kusema. Yesu Kristu Mungu naa Mungu wake na Roho Mtakatifu wanatukanwa na kupingwa na hao hao wazungu. Sembuse mavazi. Huo ni utamaduni wao. Wamepigana karne na karne kuwa huru ili waweze ku chalenjiana wakati wa kutafuta maendeleo, na wamepiga maendeleo.

Huku third world ndio bado hakuna uhuru wa kusema, sasa tusipeleke hayo ma tamaduni yetu kwa wenzetu. Hutaki Hijabu yako isemwe vibaya kaa kwenu Saudia, kaa kwenye Sumbawanga.
 
Quran Takatifu haijasema popote wanawake wavae hijab, niqab wala burka

In fact, Quran Takatifu haijasema lolote kuhusu uvaaji wa muislam wa namna yeyote.

Unaweza kuvaa ki-mini na ukawa hujavunja matakwa ya Quran Takatif
Punguza utoto na kukurupuka khasa kwenye mambo yanayohitaji elimu kuyaendea na wewe huna hiyo elimu.

Ni bora ungeuliza mara mia kuliko kukurupuka ulikokufanya kuyaendea mambo usiyokuewa na elimu nayo kufikia kuongopa kwa kiwango cha juu kabisa.

Ni kwa jinsi gani mwanamke wa kiislamu anapaswa avae ni mambo ambayo yameelezewa katika Qur'an na hadithi za mtume.

Sijajua faida unayoipata kwa kusambaza uongo na uzushi huu.

Hii hapa chini ni sura ya 59 ya Surat ahzab.

Ewe Mtume waambie wake zako na na binti zako na wanawake wa kiislamu wajiteremshie uzuri nguo zao.Kufanya hivyo kutapelekea upesi wajulikane ni watu wa heshima wasiudhiwe.Na Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kusamehe na mwingi wa kurehemu.

Ndugu kama mambo hauna ilmu nayo ni kheri ukauliza au ukakaa kimya.
 
Hehe sasa unasemea huko uswazi ambako hawako serious, nenda kayafanye huko nchi za kiislamu hata hapo zanzibar kaweke banda la nguruwe kando kando ya msikiti halafu utaniletea mrejesho!
utawekaje banda la nguruwe kandokando ya msikiti!!..unakua unatafuta nini!!?
 
okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.

tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.

hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka

in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam period.

kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...

facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...

Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
kaka ww ni muislamu au mkristo? kama ni muislam unajitia aibu kwa comment hii,na kama sio muislamu nakushauri usome vizur uislam na qorana,sehem kibao kwnye quran wameweka dressing code kwa ajili ya wanawake,soma surati Noor na Surat ahzabu.
sio kila post una comment.
 
Back
Top Bottom