Boris Johnson akashifu wanawake wavaa hijab

2365-1577-2.37912342.jpg.gallery.jpg

NYWELE ZAKE MWENYEWE KAMA KIOTA CHA KUNGURU
 
Saudi mbali sanaaaaa

Nenda Kariakoo hapa, wanaruhusu mwanamke apite na nguo inaonyesha maungo?

Kwa hiyo sisi tamaduni zetu ni super intolerant, super conservative, hatuvumilii haki za mavazi ya wengine halafu tunaenda kwa wenzetu tunataka kuwaamulia tuvae nini... rudini kwenye ma nchi yenu mkavae mnavyotaka kama mavazi ya kitamaduni au kidini ni muhimu kihivyo...

Tunatakiwa tuheshimu tamaduni na dini za wengine, I agree wholeheartedly.

Lakini pia elewa Uingereza na Magharibi kwa ujumla wana utamaduni deep and long wa kuwa huru kusema. Yesu Kristu Mungu naa Mungu wake na Roho Mtakatifu wanatukanwa na kupingwa na hao hao wazungu. Sembuse mavazi. Huo ni utamaduni wao. Wamepigana karne na karne kuwa huru ili waweze ku chalenjiana wakati wa kutafuta maendeleo, na wamepiga maendeleo.

Huku third world ndio bado hakuna uhuru wa kusema, sasa tusipeleke hayo ma tamaduni yetu kwa wenzetu. Hutaki Hijabu yako isemwe vibaya kaa kwenu Saudia, kaa kwenye Sumbawanga.

ebwana weee ndio umeongea. hutaki rudi kwenu kwani unalazimishwa kwenda kuishi uingereza. kila nchi ina haki yakuwaambia wageni nini wafanye na nini wasifanye. simple.
 
okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.

tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.

hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka

in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam period.

kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...

facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...

Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
Ningependa Malcom Lumumba na chige waione respond hii yako.
 
Wanasemaga jambo usilokua na elimu nalo usiliongelee.
 
Mtu ka Boris Johnson anawakilisha mawazo ya wanasiasa wengi wa chama chake kuanzia Waziri mkuu mwenyewe sema kinafiki wanajifanya wanampinga.
 
Saudi mbali sanaaaaa

Nenda Kariakoo hapa, wanaruhusu mwanamke apite na nguo inaonyesha maungo?

Kwa hiyo sisi tamaduni zetu ni super intolerant, super conservative, hatuvumilii haki za mavazi ya wengine halafu tunaenda kwa wenzetu tunataka kuwaamulia tuvae nini... rudini kwenye ma nchi yenu mkavae mnavyotaka kama mavazi ya kitamaduni au kidini ni muhimu kihivyo...

Tunatakiwa tuheshimu tamaduni na dini za wengine, I agree wholeheartedly.

Lakini pia elewa Uingereza na Magharibi kwa ujumla wana utamaduni deep and long wa kuwa huru kusema. Yesu Kristu Mungu naa Mungu wake na Roho Mtakatifu wanatukanwa na kupingwa na hao hao wazungu. Sembuse mavazi. Huo ni utamaduni wao. Wamepigana karne na karne kuwa huru ili waweze ku chalenjiana wakati wa kutafuta maendeleo, na wamepiga maendeleo.

Huku third world ndio bado hakuna uhuru wa kusema, sasa tusipeleke hayo ma tamaduni yetu kwa wenzetu. Hutaki Hijabu yako isemwe vibaya kaa kwenu Saudia, kaa kwenye Sumbawanga.
Sikuelewi hata.....
 
Mbona jamaa yuko sawa tu,Waisilamu bana,ulaya mbali sana hata hapa bongo, mtu akija kwako,sio yeye akupangie ufanye nini bali anatakiwa kufata taratibu za familia yako,kama saa moja wote mnatakiwa kuwa nyumbani inatakiwa iwe hivyo na si vinginevyo,hutaki nenda kwako,kuanzia kubishana na mwenye mji ati kisa imani yako wakati ni kinyume na utamaduni wake ni kukosa akili tu,mbona wengine tunavaa kanzu ingawa sio imani yetu sababu tu usimkwaze mwenyeji wako,hii dunia yetu nikubwa kuna watu huu ukristo au uisilamu hawaujui kabisa usipokubadili kubadilika utapata tabu sana ni bora ukae hapo ulipo tu
 
Hata ukiwaambia wamaasai wakivaa mashuka wanafanana na miti ni kashfa.

sijui kwanini umekaza kichwa kwenye hili.
hakuna maelezo sijui imepanda imeshuka ikaandikwa kwa biblia sijui kwa Quran.

Tunatakiwa kuheshimu tamaduni ila tuwe tayari kuzibadili kwa uweledi pale zinapoonekana sio nzuri.
Wewe ni mwerevu.
 
Mkuu Consigliere,

Nimesoma posts mbalimbali za huyu Taso, nimeshindwa kufahamu hata anachomaanisha au anachokataa hasa ni nini hasa!! Ajabu zaidi, ni kama anataka kutuambia kwamba hata media kama BBC na zenyewe zimeandika uongo kuhusu kauli ya Boris!
 
when in rome do as romans.., hizi cultural differences kwenye nchi za watu ndio zinalleta resentment, ukiamua kuamia kwa watu basi atleast assimilate
 
Anaweza Kashifu anavyotaka coz sio dini yake na ana chuki ya asili ambayo iko ndani ya mioyo ya majority ya wale ambao sio waislam ila kwa ushauri tu hao wanawake pamoja na waislam wote wampotezee tu yani wasimpe kiki sababu hana madhara yeyote ni kiumbe mdogo mno hawezi utikisa uislam
 
But guys let's be realistic here, mtu anakuja let say dukani au ofisini kwako humjui na kajifunika mwili mzima na hii dunia ya kujiripua, ni salama kweli?
 
And BTW Kwanini waislam ulazimisha tamaduni zao kufuatwa hata kwenye nchi zisizo za kiislam /kidini ilhali wanaokwenda kwao uheshimu mila na desturi za huko?
 
Mkuu ...Ajabu zaidi, ni kama anataka kutuambia kwamba hata media kama BBC na zenyewe zimeandika uongo kuhusu kauli ya Boris!

nionyeshe ambapo hao BBC wameandika "Boris Johnson awakashifu wanawake wavaa Hijab"
 
okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.

tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.

hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka

in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam period.

kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...

facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...

Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
Mkuu umekuwa unatumia humu neno "utamaduni" ila sielewi huo utamaduni unaouzungumzia ni upi?

Hebu tueleze ni utamaduni gani unaouzungumzia ambao unasema unatakiwa ufuatwe? au unataka kusema waingereza wana aina zao maalumu za mavazi(kama wamasai) ambazo ndio utamaduni wao?
 
And BTW Kwanini waislam ulazimisha tamaduni zao kufuatwa hata kwenye nchi zisizo za kiislam /kidini ilhali wanaokwenda kwao uheshimu mila na desturi za huko?
Kwahiyo hayo mavazi wanayovaa wanawake wa kiislamu ni kinyume na tamaduni za waingereza? hebu tuambie huo utamaduni wa waingereza ni upi ambao ndio ni kinyume na mavazi ya wanawake wa kiislamu?

Mi najua wamasai wana mavazi yao na ndio utamaduni wao,je hao waingereza mavazi ya utamaduni wao ni upi?
 
Back
Top Bottom