Boris Johnson akashifu wanawake wavaa hijab

Boris Johnson akashifu wanawake wavaa hijab

Sasa ukiitwa kilaza utakisilika au nikikuita popoma nitakuwa nimefanya makosa

Leta aya na kifungu kinachosema wanawake wavae ninja siyo kuleta upumbafu wako hapa
USIPOTEZE WATU KWA KUJIFANYA UNACHAMBUA QUR-AAN TUKUFU WAKATI HUJUI KITU. UNAWEZAJE KUSEMA MTU ATAKAEVAA KIMINI HAJAENDA KINYUME NA QUR-AAN WAKATI QUR-AAN IMEELEKEZA WANAWAKE KUSHUSHA JILBAAN ZAO???!!! TAMBUA KUUMIZA IMANI ZA WATU WENGINE NI KOSA KIKATIBA.
 
Imani gani, ya kipagani?

Quran Takatifu haijasema popote wanawake wavae hijab, niqab wala burka

In fact, Quran Takatifu haijasema lolote kuhusu uvaaji wa muislam wa namna yeyote.

Unaweza kuvaa ki-mini na ukawa hujavunja matakwa ya Quran Takatifu.

Kwa hiyo let us not conflate imani na utamaduni

Utamaduni wa Muingereza haukubaliani na kumfunika mwanamke gubigubi. Kwa wao, burka wanaliona kwa waporaji mabenki.
Jifunze kwanza sheria za kiislamu na upatikanaji wake ndipo uje kubishana humu na kujitia ujuaji.
Tofautisha vazi la hijabu na janzu.
Kabla ya uislamu hata waarabu hawakuwa na vazi hili.
 
Jifunze kwanza sheria za kiislamu na upatikanaji wake ndipo uje kubishana humu na kujitia ujuaji.
Tofautisha vazi la hijabu na janzu.
Kabla ya uislamu hata waarabu hawakuwa na vazi hili.
Kanzu imevaliwa zaman sana akina yesu hata kabla uislam haujazaliwa bikira maria kavaa hijabu mda mrefu sana

Leta aya inayosem mwisilamu avae kipedo na ninja
 
I like people who speak think and speak free,binadamu wengi tumejaa unafiki tu,I just don't know why?
Wazungu wengi hawapendi tamaduni za kiislamu but akitokea mmoja kuelezee yanayomkera juu ya utamaduni huo basi atashambuliwa hata na wale wanaouchukia utamaduni huo. UNAFIKI.




Kiukweli Umeongea Ukweli
 
Back
Top Bottom