Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Kwa hiyo hizo bendera ni kikwazo sana? Na wewe weka za nchi yako kila mahali hapo ngoma itakuwa droo


Mkuu kila mtu yupo kwake pale huwa nafanya kwenda tu,, kinachokiudhi ni kwamba yy yupo Tz ana fanya kazi Tz sasa bendera ya kenya ya nini
 
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije
we diraja lake la kupata uraia na ardhi tu...ila kama unaweza kua kama ufoo una badili hati zote ziwe zako.
 
Ndoa haionjwi kama asali, ulianzaje kuishi naye kabla ya ndoa? Kama unavyoona yeye ana mapungufu hata yeye pia yawezekana anaona wewe una mapungufu. Intermarriages kawaida zina matatizo ya kimtazamo. Jambo la kawaida kwa wazigua sio la kawaida kwa wasukuma. Ukienda kitaifa inakuwa mbaya zaidi. Lakini, ''Aonaye mbali nakwao, asipodanganya hudanganywa''

kila mtu anaishi kwake, kuna muda anaweza niambia wikii yote utakuwa hapa, sasa hiyo wiki inagekuwa kuwa shubir kwangu
 
Hawakatwi kweli, ndio maana nimesema bora mbongo kubembeleza anajua, ndani ya 6x6 ndo usipime na hela anatoa
nahisi unaweza kutusaidia maana kuna uzi watu waliuliza ni hipi kati ya iliyokatwa na isiyokatwa ipi ni tamu zaidi?
naamini utatupa majibu bila ku-take it personal...
 
YAANI BESTITO UNAPATA SHIDA NA MTU WA SAMPULI HIYO
KAMA YEYE KAWEKA BENDERA YA KENYA NAWE MUONESHEEE
YA KWAKO TENA MUONESHEE IKIWA HIVI HH.jpg

HAPO SASA ATAUFYATA :shut-mouth::shut-mouth: NA KUTULIA KAMA MAJI MTUNGINI

ILA KWA UPANDE MWINGINE BEST KIMBIA HUYO HAFAI KUWA MUME
 
Vyote ni vizuri hakuna cha kukatwa wala kukatishwa hapo
nahisi unaweza kutusaidia maana kuna uzi watu waliuliza ni hipi kati ya iliyokatwa na isiyokatwa ipi ni tamu zaidi?
Naamini utatupa majibu bila ku-take it personal...
 
Hebu mlete kwangu nimlifoo sasa hivi hajui kuwa hapa ni tz
anatufanyia mchezo utadhani yuko kenya hapa, lete contact zake haraka
mkuu kila mtu yupo kwake pale huwa nafanya kwenda tu,, kinachokiudhi ni kwamba yy yupo tz ana fanya kazi tz sasa bendera ya kenya ya nini
 
hivi toka muda wote uliokaa naye mpaka anafikia kupeleka posa ulikuwa huzijui hizo tabia zake usizozipenda? kwenye hizo tabia ulizomention hapo juu, kwa mtu kama mimi nilishasepa siku nyingiiiii.....wewe unakaa na mtu anayekukera wa nini?? mapenzi ni kufurahiana si kukerana. Halafu huyo mpenzi wako anaonekana ni selfish kupita maelezo.. Chapa lapa bhana....
 
tatizo sio ukenya wake ndo ukimbie mbio kwenda kwa mbongo, hapo tatizo ni la mtu binafsi sio nchi, unaweza kumpata huyo mtz halafu akatundika bendera za chadema kuanzia nje ya nyumba hadi boxer anayovaa. ushauri wangu ni kwamba hebu kerwa na tabia ya mtu binafsi sio nchi then badili chaguo la mtu sio nchi. amen
 
laiti ungalijua huyo mkenya anatafuta namna ya kununua ardhi tanzania ww unapanua mapaja kwa jina "mapenzi"kumbe huyo mungiki anataka ardhi...
 
kumbe nyie ndio mnaowaficha wahamiaji haramu na ww umezidi ndoa bdo unatega jamaa analenga daily UTAJIBEBA sepa hizo roho za nyoka,
 
Back
Top Bottom