hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,328
- 2,243
Kuoa au kutokuoa changanya Na zako, ,,usioe tafadhari,Ila kama Ni muhimu jitahidi uoeAyaaah ushajichanganya una watoto wanne?
Mimi naingiaje hapa mkuu?Hiyo hali wewe haikupi shida kuona umechelewa
Namwelewa mtoa mada, kupata life partner sio kitu rahisi hasa kwa dating pool iliopo sahivi imejaa wadada gold diggers, na wanaume wa hovyo.😂😂😂😂😂
Ni hitaji la binadamu, wataalamu wote waliochambua Hirerachy of needs hakuna aliyekanusha love/being needed/to belong kama sio hitaji la mwanadamu.
Sielewi kuhusu wanaume mnafanyaje kumpata exactly mnayemtaka sababu ninyi ndio watafutaji, na kwenye hilo sijui itakuwaje kama hali ndio iko hivyo.Pia hii hali ya unaemtaka hakutaki usiemtaka ndo anakutaka mtu usipofanya maamuzi magumu unashtuka miaka 50 hii hapa uko single huna mtoto binti kiziwi
Hongera Sana Mkuu.Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life.
Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
Tekinolojia Tekinolojia Tekinoloji.Wewe unatatizo la kimkakati na sio kwamba una msimamo wa maana🚮🚮View attachment 3558125
Ushaanza kuzeeka hapo huna mtoto wala mke utakuja ku wish ungekuwa naoMimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life.
Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
Tena naona wadada ndo wanaongoza ku-date na wanaume wasiowataka, sababu ya hela, mwanaume anakufata, kiuhalisia hujavutiwa nae kimapenzi ila sababu ana hela za kukuhonga unamkubalia. binti kiziwiHii kauli ya ninayemtaka hanitaki ikitoka kwa mwanamke nitashangaa sana!
hua ni fahari, sana pale unapojiona umejizaa kwa mwanao.
Oya unazingua kwani bia imekukosea nini?Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria,
Nimekutumia ujumbe tangu Jumamosi umekaa hujajibu unakuja unajibu Jumatatu? Ila sawa tu naona utakua haujasikia nilichokwambiaAs for we women, we attract….. so mtu asiniambie kati ya 15 wanaomtaka hamna hata mmoja anayemuona anafaa, Lazima tujifunze kupokea upendo kutoka kwa wale wanaotutaka…. Hii kauli ya ninayemtaka hanitaki ikitoka kwa mwanamke nitashangaa sana! 😮
Watu mna calculate every move,ni vile mnangojea mtu a mess up😁😁😁Wewe unatatizo la kimkakati na sio kwamba una msimamo wa maana🚮🚮View attachment 3558125
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life.
Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
Sielewi kuhusu wanaume mnafanyaje kumpata exactly mnayemtaka sababu ninyi ndio watafutaji, na kwenye hilo sijui itakuwaje kama hali ndio iko hivyo.
As for we women, we attract….. so mtu asiniambie kati ya 15 wanaomtaka hamna hata mmoja anayemuona anafaa, Lazima tujifunze kupokea upendo kutoka kwa wale wanaotutaka…. Hii kauli ya ninayemtaka hanitaki ikitoka kwa mwanamke nitashangaa sana! 😮
Alaaah! Kumbe we shoga!!?No asil yangu tangu ukuaji wangu sinaga mazoea na wadada
HahahahaMtu anaweza andika uzi kushauri wengine kumbe ana matatizo yake binafsi
Jamani wapi tena mwamba?Nimekutumia ujumbe tangu Jumamosi umekaa hujajibu unakuja unajibu Jumatatu? Ila sawa tu naona utakua haujasikia nilichokwambia