Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

km ke.......molembe anasema yeye pm zake ni kwa ke tu......na sam love ana ishu ataka kubonga nae....so umuhimu wako unaonekana hapa.......au ww sio ke masai dada maana id sio ukweli wa kinachosadifu

poa napokea pm zote bila kuchaji hata kb moja
 
.....watu na shule zao "maishashule" siyo pesa onyelilee!!

cc Kiranga mratibu wa Oxford

Utakaa sana....soma hii quote ya bill gate: "........nilipokuwa nasoma kuna watu ambao walikuwa wana score sana darasani, kiasi kwamba sikuweza kuwakaribia lakini leo nimewaajiri kwenye kampuni yangu ya microsoft km mainjinia mimi nikiwa bosi wao.........". Endelea kuota!
 
mmmh maishapesa gudnyt
 
Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni
1.wajuaji
2.wajivuni
3.wapenda starehe na anasa
4.michepuko
na mengine mengi tu.

umeona eeh? bora umeniwahi...hata mimi nilikuwa nataka kusema hivyo.
 
Utakaa sana....soma hii quote ya bill gate: "........nilipokuwa nasoma kuna watu ambao walikuwa wana score sana darasani, kiasi kwamba sikuweza kuwakaribia lakini leo nimewaajiri kwenye kampuni yangu ya microsoft km mainjinia mimi nikiwa bosi wao.........". Endelea kuota!

alianza akiwa na miaka 13, wewe unayo sitini na ngapi? acha wivu Kiranga yupo vizuri
 
Last edited by a moderator:
1.Huna adabu
Ulichofanya ni udhalilishaji, kuidharau kazi ya Bar .. huku ni kuwazalilisha kina dada.
kudharau kazi ya mtu na kudhalilisha mtu kupitia ajira yake

2.Hujielewi.
Yaani ww umeona kupitia mitandao ya kijamii ndio mahali pakupatia mke wako..umekosa njia mbadala kabisaa mpaka kufika majali umeanika ya moyoni mwako.

3. Wewe ni Muongo.
Kwa wingi wa wanawake waliokonhuku JF ,embu tuambie ni wangapi umeshuhudia wakifanya matukio uliyoyataja .
Je ulishawahi kubahatika kumtongoza hata mmoja na ukaisshi nae hata for some days na akakutendea hayo uliyoytaja . Au umeropoka tu coz una nguvu za kuandika .

Maoni.

Unastihili kupigwa nje ya JF kwa miezi mitatu ..ili uwe mfano kwa wengine.

nimependa nr 2
 
Back
Top Bottom