Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

sasa dada ukitukanwa umeonewa? mtu kama anajua anajua tu,jifunze kupitia yeye

hahahahahahaha jiwe limerushwa gizani majeruhi kajitokeza aiseeeeee
KWA FAIDA YAKO
sifahamu lugha ya matusi na kanuni yangu ni kwamba kila anaetumia lugha ya matusi kama silaha ni wa kupuuzwa kichwani hayuko sawa
jifunze wewe kwangu sijaona lenye faida
 
Utakaa sana....soma hii quote ya bill gate: "........nilipokuwa nasoma kuna watu ambao walikuwa wana score sana darasani, kiasi kwamba sikuweza kuwakaribia lakini leo nimewaajiri kwenye kampuni yangu ya microsoft km mainjinia mimi nikiwa bosi wao.........". Endelea kuota!

....ha ha ha acha umemkwa....

.................shulepesa!!!
 
The folly of this grotesque overgeneralization lies not only in it's blatant and wanton disregard for accuracy and monstrous lack of respect for exactitude, but also it's shameless, divisive, ignoble, misogynous mischaracterization, and indeed character assassination of a most malicious caliber.

It is incumbent upon all harmony loving members of this esteemed forum to repudiate such a ghastly and ghoulish attack on common sense with the strongest terms, emphatically, categorically and without reservations.

Those of us with the slightest inkling of respect for fellow members of this forum of the opposite sex wish to apologize for this cavalier and cowardly conduct that obviously exhibits suffering from a severe lack of the very basic of home training.

I remain.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa.

Cc : Invisible

Kudaaadeki hapa hata native english speaker atatumia kamusi, ebwanaeeee we noma kwa bombastic
 
kuna wanaume wana shida hii hawataki wawe na wake WANAOJITAMBUA, na kundi mojawapo lililoathiriwa sana na hii hali ni maaskari na wanajeshi, wao kwakuwa wamezoea kuamrisha na kuwa na final say kwenye kila jambo basi hata kwenye mahusiano ndivyo walivyo
 
Mshana unakosea, kumbuka jeshi la sasa hivi sio kama la miaka 70 au 80 lililokuwa limejaza watu kutoka makabila yaliyokuwa yakisemekana watu wake wana nguvu. Amri ni ofisini, nyumbani miiko na heshima ya ndoa iko pale pale.. Pole kama unajua maaskari na wanajeshi wako hivyo...
 
Samahani dada Kiranga kama nimekukera.

Hahahahaaa somebody has called kiranga dada huku. Kweli jf kuna wageni lol!
Cc Madame B, Evelyn Salt, Kipaji Halisi n Mwekundu.
 
Last edited by a moderator:
Mshana unakosea, kumbuka jeshi la sasa hivi sio kama la miaka 70 au 80 lililokuwa limejaza watu kutoka makabila yaliyokuwa yakisemekana watu wake wana nguvu. Amri ni ofisini, nyumbani miiko na heshima ya ndoa iko pale pale.. Pole kama unajua maaskari na wanajeshi wako hivyo...

Nakubaliana Nawe lakini kwa asilimia kubwa hata hawa wa kileo wako hivyo nina ithibati nyingi tuu
 
We mwenyewe hufai kua mumee hata kidogo unaonekana hujuo kupenda hujui kujali huyajui majukumu yakoo lazima ukutane na wa style yakooo poleee demu umwendeavyo ndivyo umpatavyooo

hah hah haaa mtoa mada anajihami na kujishtukia au ndo walewale wa mpaka wasomeshwe mistari ndio wajipange kumwendea demu a.k.a madomo zege ataishia kuchukua wa type yake tu
 
Back
Top Bottom