Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Hivi masai dada huyo mwenzako umempa limbwata ya wapi?

hahuaahh umesahau siku zile ukanipeleka kule milimani au unaongea ishu nyingine maana mimi na wewe tuna madeal mengi zaidi ya kakajambazi
 
Last edited by a moderator:
hivi kujua kiingereza ni ujanja kumbe?

usijue ndo utajua umuhimu wake,ni muhmu kujua kingereza ni lugha ya muhimu sana kati ya lugha nyingi duniani kama una akili timamu umenielewa.
 
usijue ndo utajua umuhimu wake,ni muhmu kujua kingereza ni lugha ya muhimu sana kati ya lugha nyingi duniani kama una akili timamu umenielewa.

kujua cha kuombea maji kinanitosha.
 
Acha uchokozi sam love.......ndio nn sasa mm nipo mwanza huku una nimentinia mambo ya mlima city!

kitu chako kinaibiwa huyu Molembe hana utani, anauza limbwata ili apate michepuko
 
Last edited by a moderator:
m,mmh mimi nisimame kama nani hapo katikati sasa

km ke.......molembe anasema yeye pm zake ni kwa ke tu......na sam love ana ishu ataka kubonga nae....so umuhimu wako unaonekana hapa.......au ww sio ke masai dada maana id sio ukweli wa kinachosadifu
 
Back
Top Bottom