Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Hakajajing'ata bado. Nimekaambia unasema hi na kenyewe kamesema 'auntie Ninyo tundu' teh teh teh teh

I don't know why but nimejikuta nakuona uko kwenye mall na your cute girl na kila mbebes anaemfurahia binti yako unamkamata Hahaaaa. Using her as a bait LOL
 
Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni
1.wajuaji
2.wajivuni
3.wapenda starehe na anasa
4.michepuko
na mengine mengi tu.

Kwa kweli huu utaratibu wa kukojoa ndani kwenye kopo mimi siuelewi,watu wa mjini kumbe ndivyo walivyo waoga,mtu anaogopa kutoka nje anakojoa ndani,tena zee zima.
 
I don't know why but nimejikuta nakuona uko kwenye mall na your cute girl na kila mbebes anaemfurahia binti yako unamkamata Hahaaaa. Using her as a bait LOL

mmmmmmmmhhhhh!!! 123456789....
 
Aisee kama umemuinclude heaven on earth na shem wangu mrsleo tutagombana futa hio kauli plse
 
I don't know why but nimejikuta nakuona uko kwenye mall na your cute girl na kila mbebes anaemfurahia binti yako unamkamata Hahaaaa. Using her as a bait LOL

Hahahaaa hell yeah! Why not?

Angejua alivyo mtaji kwangu angenidai maelfu ya madolari......
 
Labda kuna mtu alimkataa, ndo maana hawapendi

hahaaha ila unajua ukiwa gube unakutana na gume,mungu anaona mioyo yetu ukiwa best unampata best,mi hasira zimeisha kuhusu mtoa mada ila asije kuona mabarmaids ni watu wahuni sana sasa si bora hao kuliko wanaojiuza na wale wadada hawana tofauti na mtu anaeuza duka,hoteli,gengeni kwani pia anakutana na mabazazi kama molembe
 
Sasa ndugu yangu umekataliwa ndo zigo umewatupia wote ee, pole kumbuka mwanaume hasusi
 
wee tupo pamoja namimi kabsaaaaaaa yani nakuunga kuanzia mkono kichwa masikio miguu macho na vinginevyo!! Sema mimi nazungumzia wanaume sina imani nao kabisaaa bora mchoma mkaa wang siku zote yupo maporini kwanza hajui yanayoendelea ulimwenguni!! So ngoma droo hapa

kwaiyo mpaka maeneo ya papuch huko unamuunga au umeishia kwenye mkono tu?
 
Molembe apo kwako washakuchepukia wangapi? its seems u have experience brother just be open
 
Last edited by a moderator:
Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni
1.wajuaji
2.wajivuni
3.wapenda starehe na anasa
4.michepuko
na mengine mengi tu.

1.Huna adabu
Ulichofanya ni udhalilishaji, kuidharau kazi ya Bar .. huku ni kuwazalilisha kina dada.
kudharau kazi ya mtu na kudhalilisha mtu kupitia ajira yake

2.Hujielewi.
Yaani ww umeona kupitia mitandao ya kijamii ndio mahali pakupatia mke wako..umekosa njia mbadala kabisaa mpaka kufika majali umeanika ya moyoni mwako.

3. Wewe ni Muongo.
Kwa wingi wa wanawake waliokonhuku JF ,embu tuambie ni wangapi umeshuhudia wakifanya matukio uliyoyataja .
Je ulishawahi kubahatika kumtongoza hata mmoja na ukaisshi nae hata for some days na akakutendea hayo uliyoytaja . Au umeropoka tu coz una nguvu za kuandika .

Maoni.

Unastihili kupigwa nje ya JF kwa miezi mitatu ..ili uwe mfano kwa wengine.
 
The folly of this grotesque overgeneralization lies not only in it's blatant and wanton disregard for accuracy and monstrous lack of respect for exactitude, but also it's shameless, divisive, ignoble, misogynous mischaracterization, and indeed character assassination of a most malicious caliber.

It is incumbent upon all harmony loving members of this esteemed forum to repudiate such a ghastly and ghoulish attack on common sense with the strongest terms, emphatically, categorically and without reservations.

Those of us with the slightest inkling of respect for fellow members of this forum of the opposite sex wish to apologize for this cavalier and cowardly conduct that obviously exhibits suffering from a severe lack of the very basic of home training.

I remain.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa.

Cc : Invisible

Mkuu kingereza chako huwa hakina logical sense kabisa. I just see a bunch of uncorrelatable vocabularies the same like the rides of our street bodabodas on the wrong side of the road
 
Back
Top Bottom