Bora kuoa Bar maid kuliko demu wa mtandaoni!

Hahaaa! Unachekesha kweli yaani wewe unadhani maisha ya watu wa Jf ni halisi?
Ingekuwa hivyo basi Tz ingekuwa kama Ulaya.
Maana maisha ya watu wa Jf ni mazuri zaidi ya uhalisia wa Mtanzania.

bebii weaving langu limeanza kuwasha kesho nataka hela nikasuke. NATAKA sio NAOMBA Upoo hapo!!!???
 
Kwa hiyo wewe ni mmoja wa wale wanaohusisha Kiingereza na usomi?

Kama ndo hivo basi binti yangu ni bonge la msomi!

Mkuu umesahau msemo wako ''Miafrika ndivyo tulivyo'' hapo bongo ukiongea kingereza unaonekana bonge la msomi.
 
Kizungu cha mbongo ni kigumu kuliko mzungu mwenyewe!

Kaka umenikumbusha mbali,zamani nikiwa form one mjomba wangu alinitumia barua ya kingereza(huyo anko alikua katibu wa jaji mkuu tz miaka ya 60 hadi 70)

Ile barua sikuielewa,nikampelekea mwl wa literature in english,anisaidie,nae ikamshnda,akasema ina maneno hajawahi kuyaona,tukayatafta kwenye dictionary mengne hayakuepo

Likizo nikaenda kwake na barua yake,akacheka sana akasema eti maneno ni ya kawaida na rahisi hatujui tu kingereza.

English ya mbongo ni balaa,ogopa.
 
Kwa hiyo wewe ni mmoja wa wale wanaohusisha Kiingereza na usomi?

Kama ndo hivo basi binti yangu ni bonge la msomi!

Naona umenielewa kinyumenyume, kusoma kupo kwa aina nyingi sana mkuu. Hata kusoma vitabu vya kiingereza ili kujiongezea uwezo wa kuchambua mambo pamoja na misamiati tofauti tofauti.

Ila huku kwetu kiingereza kinaendana sana na kusoma sana. So narudi shule tena mkuu.
 
We mwenyewe hufai kua mumee hata kidogo unaonekana hujuo kupenda hujui kujali huyajui majukumu yakoo lazima ukutane na wa style yakooo poleee demu umwendeavyo ndivyo umpatavyooo
 
nimelala usingizi hauji,nilishawaaga kina dinazarde lakini kwa kuwa mume wangu yupo humu sitoi neno zito honey tutaongea nyumbani

wewe molembe acha upuuzi wewe hapa jf kusingekuwa na wadada unazani kuna mtu angepost mmu Umesoma boys nini
TOA MDOMO MACHAFU KAMA CHOO CHA TABORA BOYS
unajitia una hekima nenda jukwaa la siasa ukakutane na kina ritz le mutuzi kijasho kikutoke uku umefata nini?????
alafu pia mtaje unaezani ni muuni sio kugeneralize
Alafu unataka tusichangie mada wadada humu ama???ukichukulia kila kitu siriaz utakufa na BP

LINGINE
lini utawapa heshima wanawake wanaofanya kazi bar?????? hivi jamani wapigaji kiroro unawaza ukaenda kunywa bia mahali kama hamna waudumu???
eti bora kuoa barmaids una akili wewe??????????
kwani wewe umewaona wao ndo chaguo la mwisho
lini utaanza kuheshim wanawake???

NAMSHUKURU MUNGU KAKUPA AKILI NDOGO ANGEKUPA KUBWA UKAWA FOUNDER WA JAMII FORUM ungekuwa na like 3 yako na ndugu zako na post 2 yako na kichenchede wako
go to hell with this thread!nucta
 
Dinazarde nimemtuliza baibe nimerudi huyu atakua TEAM KIBAMIA
 
Samahani dada.
 
We mwenyewe hufai kua mumee hata kidogo unaonekana hujuo kupenda hujui kujali huyajui majukumu yakoo lazima ukutane na wa style yakooo poleee demu umwendeavyo ndivyo umpatavyooo

Samahani dada.
 
Nimewachunguza wanawake wa humu jukwaani hasa hapa MMU nimegundua wote sio waifu material wengi ni
1.wajuaji
2.wajivuni
3.wapenda starehe na anasa
4.michepuko
na mengine mengi tu.

i concur
 
nimelala usingizi hauji,nilishawaaga kina dinazarde lakini kwa kuwa mume wangu yupo humu sitoi neno zito honey tutaongea nyumbani

wewe molembe acha upuuzi wewe hapa jf kusingekuwa na wadada unazani kuna mtu angepost mmu Umesoma boys nini
TOA MDOMO MACHAFU KAMA CHOO CHA TABORA BOYS
unajitia una hekima nenda jukwaa la siasa ukakutane na kina ritz le mutuzi kijasho kikutoke uku umefata nini?????
alafu pia mtaje unaezani ni muuni sio kugeneralize
Alafu unataka tusichangie mada wadada humu ama???ukichukulia kila kitu siriaz utakufa na BP

LINGINE
lini utawapa heshima wanawake wanaofanya kazi bar?????? hivi jamani wapigaji kiroro unawaza ukaenda kunywa bia mahali kama hamna waudumu???
eti bora kuoa barmaids una akili wewe??????????
kwani wewe umewaona wao ndo chaguo la mwisho
lini utaanza kuheshim wanawake???

NAMSHUKURU MUNGU KAKUPA AKILI NDOGO ANGEKUPA KUBWA UKAWA FOUNDER WA JAMII FORUM ungekuwa na like 3 yako na ndugu zako na post 2 yako na kichenchede wako
go to hell with this thread!nucta

unananidai ng'ombe mmoja wa maziwa.
 
The folly of this grotesque overgeneralization lies not only in it's blatant and wanton disregard for accuracy and monstrous lack of respect for exactitude, but also it's shameless, divisive, ignoble, misogynous mischaracterization, and indeed character assassination of a most malicious caliber.

It is incumbent upon all harmony loving members of this esteemed forum to repudiate such a ghastly and ghoulish attack on common sense with the strongest terms, emphatically, categorically and without reservations.

Those of us with the slightest inkling of respect for fellow members of this forum of the opposite sex wish to apologize for this cavalier and cowardly conduct that obviously exhibits suffering from a severe lack of the very basic of home training.

I remain.

Kiranga Cha Ngeda Sakala Kandumbwa.

Cc : Invisible

This is my first time to read your post in this forum mkuu Kiranga, kumbe na wewe huwa unapita huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom