Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza

Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza

husband2.png

Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu.
Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane.
Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.

Sawa mdada alikosea, lakini kwa nini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi?
And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?

Bora Kumwacha Mtu Kuliko Kumuumiza..
mbona kamgusa gusa tu hapo, sijaona kama kapigwa aisee, ilitakiwa awe anavuja damu maskioni na puani
 
husband2.png

Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu.
Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane.
Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.

Sawa mdada alikosea, lakini kwa nini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi?
And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?

Bora Kumwacha Mtu Kuliko Kumuumiza..
Huenda ni tabia yake. Huenda keshamvumilia sana. Maumivu halali yake. Then ataachwa
 
Alifuata nini kama tayari alikuwa akiishi na Mme wake..

Nyambafu sana na huyo hajui kupiga kabisa naona kampapasa kwa mbali tyu..ole wake nimkute wife katika hizo mambo lazima alive na kusaga meno..

Onyo:kichapo sio vizuri kwa mwenza kinaweza pelekea kifo au ulemavu wa maisha
 
husband2.png

Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu.
Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane.
Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.

Sawa mdada alikosea, lakini kwa nini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi?
And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?

Bora Kumwacha Mtu Kuliko Kumuumiza..
Huko ndo kuua bila kukusudia! Kila upande inafaa ujilaumu wenyewe kwa kutojali kwa hakuna wa kumtetea hapo
 
husband2.png

Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu.
Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane.
Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.

Sawa mdada alikosea, lakini kwa nini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi?
And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?

Bora Kumwacha Mtu Kuliko Kumuumiza..
Kwa alichofanya huyo dada sidhani kama jamaa alipata muda wa kufikiria uyasemayo. Hasira zilichukua nafasi hapo.
 
Usaliti unaumiza sana si jambo la kushtua kwa yeye kufanya hivyo. Mtu kakubali kuwa mke alafu bado anapenda ngono na starehe za kila aina kama sio makusudi, dharau ni nini?.Lazima wanandoa wakubali kuwa wao ni watu tafauti.
Alafu hii tabia ya ma x kupenda kuwa na mahusiano na wake/waume za watu sio nzuri hata kidogo na imekuwa kama kawaida vile. Kwa nini iwe ngumu kuweka mipaka au huo urafiki wenu baada ya ndoa ukifa ndo mwisho wa dunia?.Ni kujiendekeza tu na dawa ndo kama hiyo aliyopewa huyo mke-malaya.
Ndo masuala ya kusingiziwa mtoto au kuletewa magonjwa nyumbani.
 
We Mwanmke mleta huu Uzi utakuwa na matatizo ya Kimahusiano yaani unadiriki kutete ujinga huu.. Yaani Angempiga na kumtoa hata pua Moja... Shenzi type

Umeona wapi nimetetea?, Nimesema ni kweli bidada kakosea lakini kuna adhabu nyingine angeweza kupewa na sio hii.

Sawa baba mtoto aliumia lakini ni vyema kufikiria hali ya mtoto pia in case kitu kibaya kingemtokea mama kutoka adhabu kama hii ya mtu kuchukua sheria mkononi.
 
Mbona sura bado nzuri hiyo, huyo jamaa bado hajapiga kulingana na unyama aliofanya huyo mwanamke, yaani hapo ni kupiga mpaka macho yapishane
 
Huyo mwanamke naye mpumbavu.

Utaachaje mtoto wa miezi minane halafu uende ukale maraha na bwana wako wa zamani?

Wote wana makosa hapo ingawa kosa moja halitoi uhalali wa kosa jingine.

Wangemnyang’anya tu custody ya huyo mtoto na kum serve divorce papers ili akatombwe vizuri na huyo bwana ake wa zamani kama bado ana hamu naye kihivyo.
 
Alifuata nini kama tayari alikuwa akiishi na Mme wake..

Nyambafu sana na huyo hajui kupiga kabisa naona kampapasa kwa mbali tyu..ole wake nimkute wife katika hizo mambo lazima alive na kusaga meno..

Onyo:kichapo sio vizuri kwa mwenza kinaweza pelekea kifo au ulemavu wa maisha

LOL!, nimecheka kama mazuri!
Unasema kapapaswa kwa mbali halafu unatoa onyo..
 
Kwa alichofanya huyo dada sidhani kama jamaa alipata muda wa kufikiria uyasemayo. Hasira zilichukua nafasi hapo.

Hasira zinaweza geuka kuwa hasara.
Angemshtaki kwenye vyombo husika and then angeachana nae. Tena angeweza hata kuwa na full custody ya mtoto kutoka kitendo alichofanya huyu bidada.
Kuliko hivi, halafu mtoto angeweza kukosa wazazi wote wawili.
 
husband2.png

Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu. Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane. Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.

Sawa mdada alikosea, lakini kwanini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi? And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?

Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza.
Uliwahi kufanyiwa aliyofanyiwa huyo jamaa?
 
Amepata dawa anayostahili, ukiwa na mtu asiyejitambua the only solution ni kumfanya ajitambue kidiplomasia, asipojitambua kwa njia "halali" you've go no option but hammer her.
 
Alistahili hicho kipigo na baadae aachwe akili imkae sawa wanawake wengine hawajitambui
 
Back
Top Bottom